Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Wadau, kwenye mikutano yote ya kampeni, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM amesema kwa sauti kuwa hatakuwa na msamaha na mafisadi. Haya yametuibia na kufilisi nchi yetu. Ameahidi kupambana nayo kwa nguvu zote ambapk ameahidi kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya mafisadi na majizi.

Sasa Magufuli anakaribia kuapishwa kwani kwa jinsi hali ilivyo, ameshashinda uchaguzi. Sasa nawapa salamu kwa niaba yake hao mafisadi kujisalimisha ili washtakiwe na hizi mahakama zetu za kishkaji kwani mahakama ya Magufuli itakuwa ni balaa tupu.

Nasikia kuna mengine yamekimbia nchi. Ila Magufuli atayafuata huko huko yaliko. Kuna mengine yamehama chama kwa kudhani kuwa yakienda CHADEMA yatakuwa salama zaidi. Yanajidanganya
Ataapishwa kuwa mwenyekiti wa chama chenu, hilo hatuwezi kukubishia.
 
Fisadi mkuu atakwenda segerea kuungana na babu seya wengine wameshaanza kuhamisha fedha inajiandaa kukimbia nchi.
 
Fisadi mkuu atakwenda segerea kuungana na babu seya mwingine keshaanza kuhamisha fedha ili likimbie hajui kuwa mkono wa dola ni mrefu unafika popote.
 
Wadau, kwenye mikutano yote ya kampeni, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM amesema kwa sauti kuwa hatakuwa na msamaha na mafisadi. Haya yametuibia na kufilisi nchi yetu. Ameahidi kupambana nayo kwa nguvu zote ambapk ameahidi kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya mafisadi na majizi.

Sasa Magufuli anakaribia kuapishwa kwani kwa jinsi hali ilivyo, ameshashinda uchaguzi. Sasa nawapa salamu kwa niaba yake hao mafisadi kujisalimisha ili washtakiwe na hizi mahakama zetu za kishkaji kwani mahakama ya Magufuli itakuwa ni balaa tupu.

Nasikia kuna mengine yamekimbia nchi. Ila Magufuli atayafuata huko huko yaliko. Kuna mengine yamehama chama kwa kudhani kuwa yakienda CHADEMA yatakuwa salama zaidi. Yanajidanganya
Unayafahamu majizi yaliyomo CCM..?? Unaweza ukayataja..?? Maana nyie mnafahamika kwa kusema mnawafahamu navlist mnayo lakini hamuwezi kuwataja... kwa mfano
1. Majizi ya bandari JK alisema anayajuwa lakini hakuwataja
2. Wauza unge alishasema akiwa Mbinga kwamba list anayo lakini hadi anaondoka madarakani hajawataja....
3. Majizi ya EPA hadi akayasamehe lakini hakuyataja... na Pinda alisema wakitajwa nchi itatikisika

We yataje hayo majizi
 
Wadau, kwenye mikutano yote ya kampeni, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM amesema kwa sauti kuwa hatakuwa na msamaha na mafisadi. Haya yametuibia na kufilisi nchi yetu. Ameahidi kupambana nayo kwa nguvu zote ambapk ameahidi kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya mafisadi na majizi.

Sasa Magufuli anakaribia kuapishwa kwani kwa jinsi hali ilivyo, ameshashinda uchaguzi. Sasa nawapa salamu kwa niaba yake hao mafisadi kujisalimisha ili washtakiwe na hizi mahakama zetu za kishkaji kwani mahakama ya Magufuli itakuwa ni balaa tupu.

Nasikia kuna mengine yamekimbia nchi. Ila Magufuli atayafuata huko huko yaliko. Kuna mengine yamehama chama kwa kudhani kuwa yakienda CHADEMA yatakuwa salama zaidi. Yanajidanganya

Afadhari maana
Mkapa
Chenge
Tibaijuka
Nao jela safi magufuli hapa kazi tu
 
kwa msimamo alioutoa katika mikutano yake yote ya kampeni, mh magufuli atawaweka pagumu na kuwaanikka mafisadi wote, nchi itashuudia fedha zilizoibiwa zikirudi kwa wanyonge. rai yangu kwa watanzania wote kuwatumpe mtumishi huyu ambaye ni wazi haogopi kujitoa kunufaisha umma wa watanzania kwa kuwajibisha wazenmbe na mafisadi wote.

haki ya nani , kura yangu kwa magufuli, kiboko ya mafisadi
 
Rais wa awamu ya 5,mh.john pombe magufuli ameapa kuwa akiingia ikulu mahakama ya mafisadi inaanza kazi mara moja
 
Very true.. Ndo maana tutamchagua ili awashughulikie ipasavyo.. Magufuli oyeeeeeeee
 
Tayali home shopping centre wameshatumia sheria kujifanya wamefilisika
na kweli alisema .....tutaona mengi ni vema mkono wa sheria uwafikie popote walipo na kuanzia na madeni ya kodi wanayodaiwa na tra. Kabla ya kudeclair kufilisika
tutumie sheria vizuri,
hizo ndio kero za wazi we need dr magufuri
 
Very true.. Ndo maana tutamchagua ili awashughulikie ipasavyo.. Magufuli oyeeeeeeee

Zile pesa za escrow zilizopitishiwa stanbic atazishughulikia/atawashughulia basi na aseme hilo pamoja kura yangu zipo kadhaa nyuma yangu.
 
Mgombea wa Uraisi wa awamu ya Tano ya CCM atakaeshindwa vibaya sana ,na lazima ahojiwe kuhusu mauzo ya Nyumba na kama haitohi miradi yote ya barabara ichunguzwe maana barabara zimejengwa chini ya viwango na ni barabara zinazosababisha ajali kuliko barabara zozote zile barani Afrika huchangia kwa kiasi kikubwa maafa ya Watanzania ,gari zikipishana tu ajali ,umeona wapi kama si Tz pekee ! CCM hooi ?
 
kwa msimamo alioutoa katika mikutano yake yote ya kampeni, mh magufuli atawaweka pagumu na kuwaanikka mafisadi wote, nchi itashuudia fedha zilizoibiwa zikirudi kwa wanyonge. rai yangu kwa watanzania wote kuwatumpe mtumishi huyu ambaye ni wazi haogopi kujitoa kunufaisha umma wa watanzania kwa kuwajibisha wazenmbe na mafisadi wote.

haki ya nani , kura yangu kwa magufuli, kiboko ya mafisadi

Asilimia zaidi ya 90 ni Wanachama na Wafadhili wa Chama chake. Swali.... Atawezaje?
 
Kura lazima kwa Dr Magufuri ili tuone nchi mpya na ustawi mpya ...hapana mambo ya dili dili tuuu
 
Back
Top Bottom