Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Nitampigia kura Magufuli, sijawahi kuipenda ccm ila nilliipenda CDM. CDM imekiuka misingi, imempokea mtu ambaye alishiriki kuiharibu nchi hii kupitia mtandao wao 2005. Magufuli utapata kura yangu asubuhi tu, hukutumia pesa kuhonga wakati wa kuusaka uraisi.
 
Naichukia CCM lakini sina mbadala makini ....bora nusu shari kuliko shari kamili ...nitamchagua Magufuli ili nchi isiangukie mikononi mwa wanamtandao .....bila kusahau kura kwa wabunge wa upinzani ...tupambane kuhakikisha wabunge wa upinzani wanakuwa wengi zaidi ....Urais tushaingia chaka ...
Shukrani mkuu naamini tunashabihiana mitazamo kuhusu huu uchaguzi na hatma ya nchi yetu.

Naamini Mungu atakua upande wetu, mafisadi watashindwa tu na hatimaye Tanzania salama itasimama mikononi mwa Magufuli.
 
Mahakama ya mafisadi!!! Je, mahakama zilizopo hazina uwezo wa kuhukumu mafisadi!? kama jibu ndio kwa nn hazina!? Kwa nn asizijengee uwezo mahakama zilizopo kama hazina. Wewe una mbwa amevyoofika sababu humtunzi vizuri anaweza kamata kibaka tu jambazi hawezi. Badala ya kumtunza na kufundisha ili awe na uwezo wa kupambana na majambazi unaenda kutafuta mbwa mwingine ambaye naye unajua huwezi kumtunza akamate jambazi!!!! Halafu wewe mwenyewe ndo unakua jambazi. Anatakiwa kubadili structure ya mahakama zilizopo ziwe huru na kuzijengea uwezo sio kuanzisha mahakama mpya.
 
Fikiria kidogo zaidi .Ina maana mahakama zilizopo Tanzania hazifai kutia hatiani mafisadi? Hill ni chenga la macho .
 
Mkuu idawa, nashukuru japo wewe ni CHADEMA damu tokea miaka ile ila umetambua kuwa hawa CHADEMA ni walaghai.

Chagua CCM. Chagua Magufuli.
Mkuu siku nyingi sijakusoma, sisi Nyumba yetu Disko limeingia Masai na visu kwa udhamini wa Mbowe , kwa hiyo humo ni fulu mvurugano.

Magufuli ni sahihi kwa Tanzania ya sasa japo itabidi tuvumilie misimamo yake.
 
Last edited by a moderator:
acha mawazo mafupi namna hiyo. Hosea analalamika kwa tanzaia fisadi/mla rushwa hata km kaiba tillion kumi ni faini <1M au lkitokea kashindwa kifungo <3years.

wabunge ccm ndio wengi hawataki kubadili hiyo sheria yawezekana makusudi.

Mahakama ni miongoni mwa taasisi inayoongoza kwa rushwa ktk tanzania chini ya mfumo wa ccm.

amka mkuu: ile siasa , kill ccm nchi izaliwe upya.
 
Mahakama ya mafisadi!!! Je, mahakama zilizopo hazina uwezo wa kuhukumu mafisadi!? kama jibu ndio kwa nn hazina!? Kwa nn asizijengee uwezo mahakama zilizopo kama hazina. Wewe una mbwa amevyoofika sababu humtunzi vizuri anaweza kamata kibaka tu jambazi hawezi. Badala ya kumtunza na kufundisha ili awe na uwezo wa kupambana na majambazi unaenda kutafuta mbwa mwingine ambaye naye unajua huwezi kumtunza akamate jambazi!!!! Halafu wewe mwenyewe ndo unakua jambazi. Anatakiwa kubadili structure ya mahakama zilizopo ziwe huru na kuzijengea uwezo sio kuanzisha mahakama mpya.
Je upo tayari tuendelee na Katiba ya Zamani kisa ina vitu vyote vya msingi ila vimeshindwa kusimamiwa kuhusu mafisadi.?

Hapa ni sera za Msingi za Magufuli na Lowassa, sio ushabiki.
 
acha mawazo mafupi namna hiyo. Hosea analalamika kwa tanzaia fisadi/mla rushwa hata km kaiba tillion kumi ni faini <1M au lkitokea kashindwa kifungo <3years.

wabunge ccm ndio wengi hawataki kubadili hiyo sheria yawezekana makusudi.

Mahakama ni miongoni mwa taasisi inayoongoza kwa rushwa ktk tanzania chini ya mfumo wa ccm.

amka mkuu: ile siasa , kill ccm nchi izaliwe upya.
Tunaongelea serikali ijayo, hapo kwenye red unaamini bunge lijalo lutakuwa na wabunge wengi wa ccm.?
 
Je upo tayari tuendelee na Katiba ya Zamani kisa ina vitu vyote vya msingi ila vimeshindwa kusimamiwa kuhusu mafisadi.?

Hapa ni sera za Msingi za Magufuli na Lowassa, sio ushabiki.

Mimi sishabikii chama chochote. Katiba na mahakama sio analogous. Katiba ni matakwa hata kwenye mapendekezo ya katiba wananchi hawkutaka tuanzishe mahakama mpya.
 
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kupigilia msumali kwa mafisadi wote akisema ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.Hali hiyo imekuja mara baada ya tetesi kuwa fisadi waliokimbia CCM wako mbioni kurudi,hivo Magufuli kasema chama chake hakitakuwa tayari kupokea mafisadi bali kitawashughulikia vikali.

Aanze na kaka mkubwa
 
tunaongelea serikali ijayo, hapo kwenye red unaamini bunge lijalo lutakuwa na wabunge wengi wa ccm.?

mkuu hilo sio suala la imani ni hadi uone matokeo. Ikitokea wakawa wengi maana yake ndicho ambacho usitegemee changes.

Tatizo magufuli anaongea utadhani yeye ndio mihili yote mitatu. Kana kwamba wakati wa vita vya mihimili bungeni hakuwepo.
 
Hiyo ndio sababu yangu ya Msingi. Na naamini anaweza kufanya anachoiwazia nchi hii kupitia ahadi hiyo.

Naamini akifanikiwa hilo, Tanzania itakua sehemu salama ya kuishi binadamu.

Huwezi kuchoshwa na umaskini kama huna mikakati ya kupambana na ufisadi.... Tusidanganyane.. Tanzania inamwitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyooiitaji Tanzania.!

Mbona watanzania wengi munapumbazwa sana na ccm? Hamjitambui kabisa. Mahaka hio ita mfunga kikwete kweli? Kiinimacho yaani watanzania bado munakubali kudanganywa na ccm? Kweli mume rogwa.
 
Mbona watanzania wengi munapumbazwa sana na ccm? Hamjitambui kabisa. Mahaka hio ita mfunga kikwete kweli? Kiinimacho yaani watanzania bado munakubali kudanganywa na ccm? Kweli mume rogwa.
Kwani hiyo mahakama itafunguliwa kwa ajili ya Kikwete tu.?

Kwani ukawa hakuna mafisadi.?
 
mkuu hilo sio suala la imani ni hadi uone matokeo. Ikitokea wakawa wengi maana yake ndicho ambacho usitegemee changes.

Tatizo magufuli anaongea utadhani yeye ndio mihili yote mitatu. Kana kwamba wakati wa vita vya mihimili bungeni hakuwepo.
Siwezi kuona matokeo bila kumchagua, ndio maana nipo tayari kumpa kura yangu ili nione matokeo.
 
Kwani hiyo mahakama itafunguliwa kwa ajili ya Kikwete tu.?

Kwani ukawa hakuna mafisadi.?

Unaongea nikama huyo magufuli yupo nje ya ccm. Waharifu wakubwa ndo ako nao wanamchangia hizo kampeni zake, atawapereka wapi kama sio unafiki. Acheni kua vipofu, muna macho lakini hamuoni na munajifanya ccm leo ni nzuri zaidi. Hali hali ya nchi hii miaka hamsi na nne yaani 54yrs ni hii hapa chini. Zindukeni. Munatuletea hapa porojo zingine.
Ni hawahawa walio minya katiba ya warioba, leo ni wasafi. Dah amakwe nchi hii inamijitu minginge hovyo kabisa.
 
Siwezi kuona matokeo bila kumchagua, ndio maana nipo tayari kumpa kura yangu ili nione matokeo.
idawa, hebu nijuze, hiyo mahakama itakuwa tofauti na iliyoanzishwa huko nyuma?

Magufuli amekuwa kwenye serikali miaka 20, je aliwahi kuishauri serikali kuhusu hilo?

Kama alitoa ushauri akakataliwa, alichukua hatua gani kama sehemu ya serikali?

Je angekuwa ni kweli anakerwa na ufisadi kwa nini hakuunga mkono upinzani?

Je ni kwa nini tuhuma zinazoelekezwa kwa Magufuli unazipuuza wa huziamini?

Je kwa nini unaamini tuhuma zinazoelekezwa kwa Lowassa lakini si Magufuli?

Je nikikuita mnafiki na mwenye chuki binafsi nitakuwa nimekosea?

Ninayo maswali mengine ukiweza kunipa majibu ya kuridhisha kwa haya.
 
Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa
 
Hiyo ndio sababu yangu ya Msingi. Na naamini anaweza kufanya anachoiwazia nchi hii kupitia ahadi hiyo.

Naamini akifanikiwa hilo, Tanzania itakua sehemu salama ya kuishi binadamu.

Huwezi kuchoshwa na umaskini kama huna mikakati ya kupambana na ufisadi.... Tusidanganyane.. Tanzania inamwitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyooiitaji Tanzania.!

chief, uwe unauliza kwanza ili uelimishwe.

mahakama zilizopo zinao uwezo wa kuwashughulikia wahalifu wa aina zote wakiwemo hao mafisadi. lakini elewa kuwa si jukumu la mahakama kumfungulia mhalifu mashitaka - hii inathibitisha dhahiri kuwa watu wa aina yako na Magufuli wenu mnahitaji elimu ya kutosha kwenye eneo hili.
 
Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa Chagua Edward Ngoyai Lowasa
 
Back
Top Bottom