M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,038
idawa, hebu nijuze, hiyo mahakama itakuwa tofauti na iliyoanzishwa huko nyuma?
Magufuli amekuwa kwenye serikali miaka 20, je aliwahi kuishauri serikali kuhusu hilo?
Kama alitoa ushauri akakataliwa, alichukua hatua gani kama sehemu ya serikali?
Je angekuwa ni kweli anakerwa na ufisadi kwa nini hakuunga mkono upinzani?
Je ni kwa nini tuhuma zinazoelekezwa kwa Magufuli unazipuuza wa huziamini?
Je kwa nini unaamini tuhuma zinazoelekezwa kwa Lowassa lakini si Magufuli?
Je nikikuita mnafiki na mwenye chuki binafsi nitakuwa nimekosea?
Ninayo maswali mengine ukiweza kunipa majibu ya kuridhisha kwa haya.
chief, kukosa ufesti ledi kunauma sana wee acha tu!
