Magufuli anasalitiwa

Hii empty set ilioandika huu uzi imejidhalilisha kweli, marehemu yuko kabulini anasalitiwaje? Haki walionyanyaswa na Sabaya zisipatikane ? Walionyanyaswa hawana haki Sabaya ndio ana haki ? Yaliyokuwa yananufaika na ujambazi wa Sabaya utaziona tu nyuzi zao .
 
Hata mungu wao angekuwa hai kuna siku angeburuzwa jela aishukuru corona imetenda haki
 
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Msije kusema Makonda, Byakanwa, Mnyeti, Gumbo na wahuni wengine walikuwa wana mapinduzi.
 
Naona Mnyeti ameanza kujisafisha
 
Wewe au mm ndo huwezi tofautisha.
Mm najua ndomana nkakwambia yule mpuuzi JPM hayupo kwenye kundi la mwanamapinduzi.
Yaani watu wa kina sabaya unaanza wapi kusema wanabambikiwa cases!
Unajua machungu na maumivu waliyopitia kina lisu, gwanda na Sanane wewe KISA hawa wapumbavu wachache?
Au wale siyo watanzania?
Juha wewe
Hao kina lissu saanane gwanda ndio hao hao mnawataja kila siku. Pambafu zako. Kwani hao vibaraka wa barrick ndio nani? Utasikia azory gwanda sijui lissu risasi 40. Tukiwaambia nchi ilikua chini ya mwanamapinduzi wala kasuku kama wewe huwezi elewa. Tukikwambia nchi ilisonga mbele huwezi amini. Hata world bank na ifm vyombo vyenye kudhibitiwa na mabeburu mnaowasujudu watu kama wewe vilikubali.
 
Unaongea utopolo gani?
Mlipiga hatua zipi? Acheni upumbavu wakati kwa makusudi kabisa mliumiza watu bila kuwa na huruma. Acheni dawa iwaingie sasa. Kama mnaweza kamuamsheni Magufuli aje awatetee wauaji wakubwa nyie mnaotoa roho za watu kujifanya wazalendo.

Eti vibaraka wa Barrick, si mngeinyima usajili hiyo kampuni kama ilikua ya kinyonyaji? Kwani walioingia nao mikataba ni akina Lissu?
 
wajane hamtoacha kuteseka shujaaa wa kizaman ndio ameshasepa
Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
 
Wadau tupeane connection, hii kazi ya kumtetea Sabaya inaonekana inalipa sana.

Haiwezi kuwa bure
 
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
giphy.gif
 
Hivi kweli kwa akili ya kawaida na vidhibitisho vyote kuhusu matendo ya Sabaya kuna mtu anasimama anamtetea kweli??? Dah
 
Back
Top Bottom