Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,764
- 55,470
pole sana. ni vema ukaendana na upepo au uendelee kulalamika for 10 yrs

Tanzania siyo nchi ya mapinduzi kwa hiyo hakuna mtu anapaswa kuitwa mwanamapinduzi, labda ZNZ lakini siyo baraNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
Watajitahidi kumfubaza Magufuli, lakini nakuhakikkshia ukifika uchaguzi watalazimika kujinasibisha na Magufuli. Hii ni kwa sababu wapiga Kura wa kweli ni wananchi wa kawaida ambao wanampenda. propaganda na harakati za mitandaoni zilizotekwa na kakikundi kadogo hazitapiga kura
Kasome Katiba ya JMT uone Makamu wa Rais anapatikanaje. Au rudi kwenye karatatasi ya kuraTofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
Hayo matango Pori mlilishwa na Mbowe. Uchaguzi ulikuwa wazi sana ndiyo mana hata hao wazungu mliokuwa mnawakimbilia walitabiri kabla atashinda kwa 84% na ikawa hivyoMagufuli mwenyewe hakuwa na sifa ya kushinda kwa njia ya kura, nani atatumia jina lake? Ule ushenzi alioufanya kwenye uchaguzi unadhani wanaccm wenye akili hawaujui? Magufuli anasema alipata kura 12m+ wakati hata wapiga kura hawakufika 10m. Kama unaamini Magufuli alishinda kwa kura, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi uone kama kuna matokeo yoyote ya uchaguzi ule.
Jiwe hakuwa na sifa ya kuwa mwanamapinduzi aisee tulimsitiri sana kNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
Nafikili MILEMBE hospital ipo na inafanya kazi sogea sogeaNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
Halafu hao ndege wewe wapuuzi sasa! Ati magufuli aitwe mwanamapinduzi? Kina nyerere wataitwaje?Umesahau kuwa ndege wa rangi moja huruka pamoja?
Hayo matango Pori mlilishwa na Mbowe. Uchaguzi ulikuwa wazi sana ndiyo mana hata hao wazungu mliokuwa mnawakimbilia walitabiri kabla atashinda kwa 84% na ikawa hivyo
Mapinduzi ya kutesa, kuaa ,kufungia akaunti za watu, kupigwa risasi Mungu aliona akamrudisha udongoniNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
kumbuka hata shetani anawafuasi wengi kuzimuHujui hata maana ya neno mwanamapinduzi?
Magufuli hajawahi hata kufikiriwa kuwa mwanamapinduzi acha ujinga wako!
Yaani watu wa aina ya kina sabaya bado wapo miongoni mwetu wa kuwatetea kweli?
Mtu mweusi ana safari ndefu sana aisee!
Mbona hujabambikiwa wewe hayo makosa????