Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

mada nyingine hazifai hata kujadiliwa na watu wazima wenye upeo kabisa kama sisi members wa JF.
Onyesha Tanzania ya viwanda chini ya Mwendazake..vya mama hivi hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20220327-172335.png
    Screenshot_20220327-172335.png
    121.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220613-151050.png
    Screenshot_20220613-151050.png
    113.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220613-151123.png
    Screenshot_20220613-151123.png
    145.4 KB · Views: 9
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
MBONA CCM YA MAGUFULI ILISEMA IMEJENGA VIWANDA 100 KILA MKOA? LABDA MH.JAFFO atutajie

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
Selikal huwa haimiliki.viwanda kwa maana ifanye biashara hata ukija usa kazi ya selikali ni kutengeneza mazingira mazuri kwa watu au wawekezaji wao ndio wazalishe na selikal ikusanyekodi kupitia kiwanda na waajiliwa wa kiwanda
 
Huna akili kabisa.
Kuna nchi inaweza kuingia uchumi wa kati bila viwanda? Hebu njoo mkoa wa Pwani ujionee.

Yani wewe ni mshamba kiasi kwamba haujui viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza?
Weka Takwimu za viwanda mlizojenga acha blaa blaa..

Kuna Nchi zinategemea utalii na ziko uchumi wa kati
 
Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
Naona jamaa anapita km hajaiona post yako.
 
Imbecile!
Kwani ulidhani serikali ndio I inajenga viwanda au inatengeneza mazingira kwa wawekezaji?
Onyesha viwanda vilivyojengwa na private sector basi,mdomo tuu

Vya Samia hivi hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220613-151123.png
    Screenshot_20220613-151123.png
    145.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220613-151050.png
    Screenshot_20220613-151050.png
    113.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220327-172335.png
    Screenshot_20220327-172335.png
    121.8 KB · Views: 7
Hivi tunavyoongea Mama anaupiga mwingi ,

1.Kongani Kubwa ya viwanda 200 inajengwa pwani na SinoTan,

2.Kongani Kubwa ya viwanda zaidi ya 100 vinajengwa Kigamboni chini ya Elsewedy nk..

Japo hatujazungumzia mamia kwa mamia ya viwanda vingine vinavyotapakaa Nchi mzima..

Yote hayo yanafanyika bila makelele Wala ushamba.
Duu Siwezi kubishana na akili matope
 
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
Nyerere alikua ni chizi tu kama Magufuri . Suala sio kiwanda suala ni mahitaji ya bidhaa. Mahitaji ya bidhaa yakiwepo na binadamu wanauwezo wa kununua ndio upelekea uzalishaji ( kujenga viwanda kwa ajili ya uzalishaji).
Sasa sera za hao wahuni zilikua ni kama zakike kurukia vitu juu juu bila kuangalia roots.
Viwanda ni Entrepreneurship sio Politics.
 
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Tuliambiwa kila mkoa umejenga viwanda 100🤣🤣
 
Hivi tunavyoongea Mama anaupiga mwingi ,

1.Kongani Kubwa ya viwanda 200 inajengwa pwani na SinoTan,

2.Kongani Kubwa ya viwanda zaidi ya 100 vinajengwa Kigamboni chini ya Elsewedy nk..

Japo hatujazungumzia mamia kwa mamia ya viwanda vingine vinavyotapakaa Nchi mzima..

Yote hayo yanafanyika bila makelele Wala ushamba.
Mkuu isije kuwa vyerehani vinne ni kiwanda.

Zile nyimbo za ProJpm za viwanda hadi tuliziba maskio kumbe hakuna kiwanda hata kimoja
 
Back
Top Bottom