Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa

Nasema Industry sio Factory
Wajinga wachache kama nyie hamuwezi kuona kitu alichokifanya Magufuli
 
Back
Top Bottom