Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,580
- 23,915
Hivi unajua kweli unachosema hapa? Utetezi mwingine wa hovyo...!Na usisahau kua mamlaka kamili alikua hana, kweli alikua mbunge ila pia waziri. Hapo angejifanya msema kweli azma ya urais angeisikia kwenye radio. Ukisha pigia mizinga 21 ndio unaweza kushuhulikia mautumbo kwa uhakika zaidi...... Labda nikusaidie kaka ukijibu tena usisahau jina la lugumi!!!!