Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,989
- 134,148
aliyekuwa anashindana na kina Ali Kiba ku-hit kaishia wapi sasa?Ondoa shudu hzo!!
aliyekuwa anashindana na kina Ali Kiba ku-hit kaishia wapi sasa?Ondoa shudu hzo!!
Teteeee....hawa ndo ccm. bahati mbaya hawamwoni akitekeleza matakwa ya uccm wao.
Unaota mkuu mchanaMwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Umesema kweli na KISHUJAA nakupa BIG BRAVOOOO,.,,., JAMANI TUWE WAWAZI MTU ANAPOKOSEA SIO KUTOA KASHFA,..,.PERIOOOOD.Jibu hoja utakuwa umemsaidia yeye na taifa, mashambulizi kwa mtu aliyeonyesha kile kinachoonekana hayasaidii
NA KUACHIA DEAL ZA MZEE WA TEZI DUME ZINAENDELEA TENA KWA KASI NA WAARABU NDIO VINARA,BANDARI, FORODHA,WAKALA WA MIZIGO,LAKE OIL NA MENGI TO NAME BUT FEW,,ETI NATUMBUA MAJIPU HAAA WE ACHA TUU,SUKARI SHS 5000 NA INGINE IMEPINDUKA LEO IKAUA PUNDA 19.Kuwalinda Lugumi na kitwanga, pia Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, January Makamba juu ya Madili yake kibao, Dau na Ufujaji pesa za Ujenzi wa daraja na miladi mingine ya NSSF , NIDA , ATC , IPTL , escrow, kivuko kibovu cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 , kumbukumbu za uuzaji nyumba za Serikali nk , haya ni mojawapo yanayomkwaza Kwa sasa .
Amekosea kujitanabahisha kichama na kusahau kwamba raisi ni utumishi wa taifa na si wa CCM. Anachuja kwa kasi kwa sababu anavyozidi kujizamisha ki CCM ndivyo anavyozidi kuuvaa uhusika wa CCM ambaye ndiye adui mkubwa wa Watanzania waliofariki, waliopo na watakaokuwepo. CCM ni adui mkubwa zaidi ya ujinga, umaskini na maradhi, na hakuna mtu atakayejitanabahisha kulinda maslahi ya adui CCM, atabaki kuwa mwema kwa watanzania wenye mateso yasiyosemekana!.
Angetaka kuendele kung'ara, angekaa kwenye nafasi ya raisi ajenge nchi lakini si kusimamia maslahi haramia ya CCM halafu bado Watanzania waendelee kumwamini!.
Na bado itafika ten!;mtaisoma namba!!NA KUACHIA DEAL ZA MZEE WA TEZI DUME ZINAENDELEA TENA KWA KASI NA WAARABU NDIO VINARA,BANDARI, FORODHA,WAKALA WA MIZIGO,LAKE OIL NA MENGI TO NAME BUT FEW,,ETI NATUMBUA MAJIPU HAAA WE ACHA TUU,SUKARI SHS 5000 NA INGINE IMEPINDUKA LEO IKAUA PUNDA 19.
Wazungusha mikono na kudeki highway!!Wewe ndoo unchuja. JPM HAWEZI CHUJA NA wala hatachuja. Iliyochuja haraka NI CHAMA la manyumbu Yaani CHADEMA
Asanteee mtoto mzuri haya njoo uchukue pipi eenh.Na bado itafika ten!;mtaisoma namba!!
Mmetingwa sn!!;ukizoea kuchochora lazima upate shida!Asanteee mtoto mzuri haya njoo uchukue pipi eenh.
Asante haya nenda kwenye foleni ya SUKARI ukajaribu bahati yako ili upate japo robo kilo sawa eenh.Mmetingwa sn!!;ukizoea kuchochora lazima upate shida!
1. Mahakama ya kushughulikia Mafisadi wote
2. Tanzania yenye uchumi wa Viwanda
3. Tanzania yenye uchumi wa kati
Tunamwombea JPM afanikiwe tu katika hizi ahadi tatu alizozitoa wakati wa kampeni!
"..the harder they come, the harder they go....."...katika maisha kuna kupanda na kushuka lkn huyu 'mtukufu' badala ya kupanda alikwea na kawaida ya anayekwea huwa hashuki bali anaporimoka...
...katika maisha kuna kupanda na kushuka lkn huyu 'mtukufu' badala ya kupanda alikwea na kawaida ya anayekwea huwa hashuki bali anaporimoka...