Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Hiyo ilikua maeneo ya Soweto siku nyingi wakati akifanya Ziara mkoani mbeya, kwa leo Magufuli alikua sehemu za Iringa, Njombe kwa maana ya Makambako na Mbarali

mkuu hiyo haikua ya soweto,ilkua uyole maeneo ya stendi ya usangu..........ni kwel hiyo hali imetokea leo tho binafsi sijafurahishwa
 
Unashanga wengine wamekazana kubisha wakat video zinaonesha, mnachokataa ni nn umati wote ule bado mnasema kikundi kidogo cha watu? Semen ukweli acheni ushabiki! Magufuli kazomewa sana tuulizen tuliokuwepo
 
Kuhusu clip ya kuzomewa, ni kwamba hawa jamaa zetu wa UKAWA wana siasa za majitaka. Waliandaa kikundi maalum na mpiga picha za mnato na video kwa ajili ya kumzomea Dr. Magufuli. Hata wananchi waliokuwepo walikishangaa kikundi hicho.

mkuu mbn mnapenda kupotosha vitu??? hapakua na kikundi chochote kilichoandaliwa bali pale ni stend......stend ya usangu km unaelekea mbalari ndo tukio hilo lilitokea
 
Leo wale makamanda wamekuwa wahuni ? Je wale wanaosimama jukwaani na kusema lowassa kajiny.....ea ni nani ?
Tuwaiteje ?
 
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa

Mbona Iddi Azan anatuma vijana na muziki kufanya fujo kwenye mikutano ya Ukawa?
 
hiyo ni kazi ya kitoto maana watu hawa wameandaliwa kuzomea hivyo kwetu wala sio tatzo tunajua muda utafika na ndipo mtakapokuja kujua kuwa magufuli ndio rais wetu

Hivi kumbe hata CCM huwa wanaandaa watu eti? Hahahaaa Subiri uone huo ni mwanzo huko Mbeya, Yata mkuta makubwa zaidi ya hayo. Watanzania wamesha shitukia kwamba jamaa yenu ni BOYA la hatari. Magufuli sera zake zilikuwa za week moja tu. Sasa sera zimemwishia anachofanya ni kuiga vile Lowassa na Ukawa wanavyo fanya. Hiyo haitoshi nasikia siku hizi ameamua kuwa Power MABULA majukwani. Anakiona cha Mwana meka.
 
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa

Tunataka evidence ya lowassa kuzomewa na wapiga kura wa vunjo. Hiyo ndo mada inayojadiliwa na usikurukupuke..... hiyo clip.....mmmmhhh
 
Tunawaambia hivi mmechelewa lowasa nni raisi wenu ila naomba ikibidi magufuli apewe barabara zake please!!!!
 
Back
Top Bottom