Magufuli akutana na nguvu ya umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa


kimpango

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Messages
815
Points
1,000
kimpango

kimpango

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2011
815 1,000
https://youtu.be/XioN7JK3Y6s
Nimeingia kwenye hiyo link hapo juu nikajiuliza kama hawamtaki kwa nini wamzomee?si ipo namna halal ya kumkataa Yule ni mtu M zima na wajukuu nafikiri familia yake inajisikiaje?Ndo mana mimi naweza kuwa rais na kufanya mikubwa lakini sigombei mchezo wenyewe kuzomeana
 
james katto

james katto

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
385
Points
225
james katto

james katto

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
385 225
Nyie kule kwenu,mliposema kajinyea,nimgonjwa sio kuzomewa,mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
 
B

bahati mbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
568
Points
225
B

bahati mbaya

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
568 225
Ukiona manyoa ujuwe akaliwa huyo? Watu wamechoka na maneno kwa miaka yote. Mabadiliko daima.
 
UngaUnga

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
1,730
Points
2,000
UngaUnga

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
1,730 2,000
Ala?! Kweli Watanzania Wanataka Mabadiliko!
 
Mbugi

Mbugi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,491
Points
1,250
Mbugi

Mbugi

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,491 1,250
Mabadiliko wanayoyataka watanzania lazima yaainishwe na lazima ieleweke si mabadiliko ya vitambaa au vyama kama ambavyo wengi wa wanasiasa wetu wanahubiri, mfano wa mabadiliko ni mtazamo na aina ya kiongozi wanaemtaka na si kwa historia ya kukaa kwake serikalini na uzoefu wake katika nafasi kubwa na kujenga magenge makubwa ya mafisadi. watanzania wanataka kubadili utendaji wa kazi kwa watumishi ktk kutoa huduma za jamii, kama afya, elimu na nk.ikiwemo kukomesha rushwa na kuongeza tija ktk uwajibikaji
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,638
Points
2,000
Age
19
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,638 2,000
Mwambie Jiwe tunamsubiria mbeya

SWISSME
 

Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top