Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
4,855
2,000
Screenshot_20201030_202731.jpg
JPM..
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
3,510
2,000
Panga virago chap uhame, maaana amekazia kabisa kuweka ushindi wa kishindo, na usirudi tena Tanzania
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
332
500
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Senior JF member,were you really in sober state while pledging this implicative note?

*Do not ever dare decision while you are exorbitantly happy or in outraged fury state.

Remember 'Astray emotions can screw up your decisions in four ways

1. Excitement can cause you to overestimate your chances of success;
2. Anxiety in one area of your life or vocation spills over to other reserved alternative comfort areas;
3. Feelings of sadness can cause to settle and subsequently rekindle sense of inferiority complex;
4. Anger and embarassment can lead to taking careless and reckless decion vulnerable to high risk of loss

Precaution: A single word of a politician influencing supporters to act on something be it constructive or destructive it takes a fraction of seconds to detonate despicable violence and rebellion.

Appeal: Think in bigger picture making sensible and wise decision tha refrains being source of the destructive.
Emotions certainly perform an important role in your decision-making process. Anxiety, for example, can keep you from making a poor choice, and boredom can ignite a spark that leads you to follow your passion.
To make balanced choices, acknowledge your emotions. Pay attention to the way you are feeling and recognize how those emotions may distort your thinking capacity in a logic manner and influence your behavior. Raise your reasoning space and decrease your emotional reactivity by listing the pros and cons of any anticipated tough decision. Seeing the facts on paper can help you think sensibly about your options and prevent emotions from getting the best of you.
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,677
2,000
Kosa kosa labda leo ndio utakuwa airport unaondoka au ndio unaunga bogi 18th December Mkuu.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,686
2,000
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.

Pole kwa vijana uliowaajiri.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,021
2,000
Ahame nchi kwani Magufuli ameshinda?
Kweli mkuu hajashinda amechapisha makaratasi ya kura. Halafu akakaa yeye na mkewe wakaanza kujipigia.

Na ndiyo maana alikuwa anakitsha Sana kampeni zake. Kumbe alikuwa bize kujipigia kura.

Kesho tunalianzisha mpk aachie hicho kiti.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
3,934
2,000
Hamia Mosimboa Da Praia jimboni Cabo Del Gado Baada ya kuvuka mto Ruvuma....

Huko utapokewa na magaidi wa ISIS wakiwa na bendera zao nyeusi....

Safiri salama,aaaamin
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,702
2,000
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Haya fungasha virago uondoke; safari njema huko uendako. Kama uko mikoani, itakubaidi usafiri kwa kutumia barabara alizojenga Magufuli hadi Dar, halafu upande ndege kupitia uwanja wa ndege terminal 3 uliokamilishwa na Magufuli. Ila usiende Ubelgiji kwani huko kuna Korona kali sana sasa hivi, na usiende marekani kwani rais wa huko hataki watu wanaotoka A$$-hole countries za afrika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom