Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
br tayari utakuwa ushafika zimbabwe uhamishoni kama ulivyosema au
 
Back
Top Bottom