Usiame mkuu!
Hajashinda kihalali.
Najua ungepaswa kuhama kama angeshinda kihalali.
Karibu tufanye maandamano ya Amani .
Kwann tusiende kumsaidia kupaki nguo chap chap asepeHahahaha ivi ujahama bado? Fanya haraka sana 😂😂😂 🏃🏃🏃
Kwani ameshinda?
Acheni upuuzi. Hata mwanangu P wa chekechea anatambua wazi kuwa Magufuli hajashinda. Tutamtoa tu soon
Senior JF member,were you really in sober state while pledging this implicative note?Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Ulitabiri vema technically kesho yanaenda kutimia. Linaanzishwa tifu hakujawahi tokea. Umehamia
Ahame nchi kwani Magufuli ameshinda?Ulitabiri vema technically kesho yanaenda kutimia. Linaanzishwa tifu hakujawahi tokea. Umehamia nchi gani tukufuate??
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Kweli mkuu hajashinda amechapisha makaratasi ya kura. Halafu akakaa yeye na mkewe wakaanza kujipigia.Ahame nchi kwani Magufuli ameshinda?
kwani Magu kashinda?matumizi mabaya ya akiliOndoka mara moja, uamuzi sahihi na bora kwako.
Naam kashinda....kwani Magu kashinda?matumizi mabaya ya akili
😂😂😂😂 Msalimie ni yeyeNdio ujiulize kwanini jiwe aliomba kura mitandaoni
Amesema Magufuli akishinda lakini hajashindaNdege inaondoka saa ngapi?
Yupo cool, calm and determinedMsalimie ni yeye
Haya fungasha virago uondoke; safari njema huko uendako. Kama uko mikoani, itakubaidi usafiri kwa kutumia barabara alizojenga Magufuli hadi Dar, halafu upande ndege kupitia uwanja wa ndege terminal 3 uliokamilishwa na Magufuli. Ila usiende Ubelgiji kwani huko kuna Korona kali sana sasa hivi, na usiende marekani kwani rais wa huko hataki watu wanaotoka A$$-hole countries za afrika.Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais