Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Umehama kwa kutumia VPN ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mleta mada nadhani atakuwa amevuka mpaka muda kuelekea nch ya jirani!!!
JF matata sana, ukiweka maneno yako hapa hawafuti!!! Ili hayo maneno yaje yakuchore sawasawa!!
 
Uchaguzi haukuwa wa Huru na Haki! Hivyo sioni sababu ya mtoa mada kuhama Nchi au yule jamaa mwingine kuacha kazi ya Utumishi wa Umma!

Yaani Chadema ni ya kupata kiti kimoja tu cha Ubunge Nchi nzima!! Huu ni zaidi ya UHUNi.
 
Uchaguzi haukuwa wa Huru na Haki! Hivyo sioni sababu ya mtoa mada kuhama Nchi au yule jamaa mwingine kuacha kazi ya Utumishi wa Umma!

Yaani Chadema ni ya kupata kiti kimoja tu cha Ubunge Nchi nzima!! Huu ni zaidi ya UHUNi.
Kwani miaka yote uchaguzi wetu si unajulikana kuwa sio wa huru na haki,sasa mtu unaanzaje kusema hivi mara vile wakati unajua kabisa hali halisi ilivyo? Hao walitoa hizo ahadi huko wakitegemea ccm haitoweza kushinda hata kwa wizi.
 
Back
Top Bottom