Dullo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2009
- 251
- 64
Katika kitu ambacho hakukishitukia mapema Bwana Pombe Magufuli ni kuingizwa mtegoni na magamba katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea Igunga kuanza kuropoka kama Mukama.
Bwana Pombe ameingia katika mtego kwa kutoa ahadi zisizokuwa na kichwa wala miguu eti ahaeweza kuingia kila wizara ni mgombea wa ccm pekee na si wa vyama vingine na kujifanya yeye Shehe Yahya kwamba Kafumu atakuwa Waziri.
Jamani huyu bwana Pombe hajui kama shida za barabara zimeletwa na CCM na yeye mwenye kama Waziri anaesimamia barabara, yaani kajishusha sana kuliko kawaida.
Sasa amebakia kuimba tu na kundi la TOT na kuwaburudisha watoto akishirikiana na Hadija Kopa na Komba.
Ajipime maneno anayoyaongea wakati wa kampeni maana sasa ameingia katika kundi la walewale wasiojua saubuhi wala jioni.
Nawasilisha kwa wanaJF.