Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,034
- 46,478
Wanaukumbi.
TULIWAONYA sana kuwa mnakaribisha wanaharakati kwenye chama chenu wanakwenda kukuvunja na kukibomoa na kuwaondoka kabisa kwenye siasa hamkusikia.
TULIWAAMBIA wanatumia chama chenu kufanya ajenda zao za harakati hamkuwa mnasikia na matokea yake mkaona hawa ni wenzenu na mna safari na lengo moja.
Walitumia chama chenu kuchochea mauaji ya 29 Oktoba na walikipakaza chama chenu matope haswa na damu za watu ili ionekane uchaguzi haukufanyika na nyie kama CHADEMA ndiyo walalamikaji na wahanga wakuu.
Mpaka Heche akajitokeza hadharani na kutamka kuwa hakutakuwa na uchaguzi na watauvuruga uchaguzi. Mkagoma kusaini kanuni za uchaguzi kwa mashinikizo ya Maria na kundi lake. Mkajikuta mmekitoa chama kwenye siasa na kimegeuka kikundi cha harakati.
Leo hii mmeruhusu Maria anachukua vijana wenu na kuwapeleka Nairobi kwenye mafunzo ya kufanya vurugu ikiwemo kung'oa bomba la mafuta kutoka Uganda kwenda Tanga. Matokeo yake vijana wale wameishia mikononi mwa polisi na wanakabiliwa na kesi za ugaidi na muda wowote watapandishwa mahakamani huku Maria na roboti lake Mshabaha wakiwa wamejificha hawana hata wasiwasi.
Aliyoyasema Lema jana siyo mapya kwa kuwa tulishawahi kusema na kuwaonya kuwa ndoa yenu na wanaharakati hawa haitadumu kwa kuwa mawazo yenu siyo mawazo yao na malengo yao siyo malengo yenu.
Leo wamevunjavunja chama chenu na kukiharibu sana ndiyo mnagundua kuwa hawa ni kansa. Mmegundua kwa kuchelewa sana wakati kansa imeshasambaa mwili mzima yaaani. Hapo mlipofika ni ngumu sana kupona.
Lema ameongea kuwa Heche hakuwa chaguo la kuwa makamu mwenyekiti wa Lussu. Tayari kishapasua mahusiano vibaya sana na kuanzia sasa hawezi kuwa sehemu ya watu wanaoweza kufanya kazi na domo kaya Heche kwa uaminifu tena.
Lema kazungumza kuwa familia yake na watoto wake ni raia wa Canada, hii maana yake leo hii CHADEMA hawawezi kusimama na kuanza kuchochea watoto wa watanzania kuandamana na kudai katiba wapigwe virungu na polisi wakati watoto wa viongozi si watanzania na hawawezi kuwa wahanga wa mambo ya viongozi ambao ni baba zao
Lema amesema hawa wanaharakati kama ni mashujaa waje Tanzania wahamasishe maandamano.! Amemtaja Maria kuwa kashindwa kuja kumzika babake kwa kuwa ni muoga na kunguru! Maana yake ni kuwa wanaharakati akiwrmo Maria ni wapiga kelele mitandaoni na hawana ujasiri wa kuja ground na kufanya wanayoyachochea mitandaoni.
Lema amesema wameumiza watu sana kwa kusema uongo na ametana yule mwanamke ni muongo sana!.. Hili ndilo la msingi sana na tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa watu hawa hawana taarifa zaidi ya kuchakata uongo kila siku kama sehemu ya kufanya harakati zao.
Lema alimdhilisha sana Mbowe. Alimgeuka na kumsaliti sana Mbowe ambaye ndiye aliyemjenga mpaka kufika hapo alipo kisiasa. Leo analilia kupatana na Mbowe kwa lipi? Endelea kushirikiana na akina Maria na Lissu maana huo ndiyo upande uliouchagua au?
Lema amesaidia sana kujua kumbe kikundi cha vijana wa CHADEMA wanaotukanatukana humu wako Nairobi ukiondoa kale kabinti ambako kamekimbilia Uswisi kupitia Addis Ababa kanahaha kuomba ukimbizi wengine wote wako Nairobi. (Lema tunakushukuru sana kwa kutoa uthibitisho huu murua kabisa)
Tumefarijika sana kusikia kuwa mnajua uhusika wa mwanamke yule kwenye kuchochea mauaji ya 29 Oktoba na tumefurahi sana kama mnajua nini kinakuja baada ya tume ya Jaji Lila kukamilisha kazi yake!..
Tunafurahi sana kuona yale yote tulikuwa tunawaonya kuhusu wanaharakati sasa yanatokea na tunayaona kwa macho yetu!..
Kwa hatua ya sasa tunangoja majibu ya Katibu Mkuu Mnyika kuhusu barua ya Lema kujiuzulu ujumbe wa kamati kuu halafu mengine yatafuata kwa kasi sana maana Heche ni mtuhumiwa mtarajiwa na lazima ataishia jela tu na Lissu. yeye atamalizia maisha yake jela kama mfungwa wa kigungo cha maisha pale Ukonga.!