Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

ha ha haaaaa siamini kama ccm wamefika hapa jamani hizi ni dalili za kushindwa.UVCCM mko wapi hamna ubunifu mbona tunaaibishana kiasi hiki mimi hata siamini.mnakopi mpaka BAVICHA Mhhhh.
Wajipange na mbinu mpya
 
Wakuu kuna taarifa kuwa baada ya CCM kuzidiwa kete na UKAWA, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya M4C, lakini baada ya jana tena UKAWA kuvuruga nyumbani kwa Magufuli pale Chato, hatimaye kamati kuu ya CCM imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia Magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya CHADEMA kuanzia fulana na kofia ili kuvuta hisia za watu. Kwa hiyo msijeshangaa mkamuona Magufuli kavaa T.SHIRT ya CHADEMA
Wameshaanza kuiga siku hizi na wao wana t-shirt za mistari.
 
Kweli nimeamini rasmi CCM hawana jipya tena, wameishiwa sera kabisa. sasa hivi wanasafiria nyota ya UKAWA hadi kujiita magufuli for change. Ni wazi kuwa hii aibu haiepukiki. Huu mzaha na matusi umeshaigharimu CCM. Wataisoma namba.
 
Baada ya kukosa cha kuwambia wananchi kutokana na ILANI YA CCM kuwa haiuziki viongozi waanza kulaumiana na kusema sasa ndo watajua kuwa mamvi ndo alikuwa chaguo sahihi la CCM!Walaumu maamzi yaliyochukuliwa kwa hasira na kumuweka mtu ambaye alikuwa ajajiandaa,kwani John Pombe Magufuri hakuwa amejiandaa keani hakuwa na matayarisho wala kampeni meneja!Ndiyo maana wanamchanganya mpaka anahaidi vitu visivyo wezekana mapaka ameanza kusema M4C hii ni dalili yya kushindwa!Kada huyo alizidi kusema tunapata aibu nibora uwe kwa magufuri maana kwa mgombea mwenza kama wanatangaza msiba!,Hivyo tumekizamisha wenyewe Chama!.
 
Hee makubwa.. Kina makamba wamekua tena vjana wa chadema.. By the way tunafarijika kwamba nany mnatukubal kidizain..ukawa ijikute inasema apa kaz tu kwa uzur gan wa ccm
 
Hapa Magufuli amepiga bao, hata kama ni malalamiko lakini ni mjanja, anacheza na akili zenu.
 
Haikubaliki
12039283_1538965026364103_6467442270856530452_n.jpg
 
mchawi ni nape na Kinana, wameharibu chama baadaye wanaandaa kikosi cha vizee vilivyotumika kuunda kikosi cha matusi badala ya sera, sasa wana kundi la fiesta na mipasho.
 
Imekula kwao . Rais gani anayetamka hadharani kuwa saddam ni wa libya. Akachoronge madaraja huko.
 
Back
Top Bottom