Mageuzi ya aina yake kwa MMU wote.

Mageuzi ya aina yake kwa MMU wote.

mimi bado sana....... kjfjf tunamalizana humu humu...kama ikitokea tumefamiana iwe bahati mbaya tu..
 
Mimi ni office mate wako... just the next desk...
 
Habari yenu wakuu!
Hapa jf unakuta mtu anakwambia labda jana alimuona member mwenzake wa jf mlimani city, mwingine beach, ooh mwingine k/koo, mwingine posta nk. Nauliza ni kitu kinamfanya mtu amshangae mwana jf mwenzake kama ni kitu ajabu sana? mbona hawafanyi hivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii kama fb,twitter,instagram,whatsapp nk? harafu wewe kama mwana jf(MMU) ni kitu gani kinakufanya umuhisi vibaya member mwenzako kiasi cha kuanza kuogopana??
Sasa nataka kuleta UJIRANI MWEMA kwa kila mwana MMU, kila mwana-MMU aweke anuani yake ili kila member aweze kumjua mwenzake na kujenga urafiki wa karibu, na nnapendekeza na Avatar ziwe ni muonekano halisi wa member husika. Jibu kwanza maswali harafu tuendelee.
Nawasilisha.

Umetususia mkuu?
 
Naona watu wanatafuta ofa za Xmass kwa njia tofauti. Any way.. Unaweza kunipata P.M au physical kwenye treni za Mwakyembe!!
 
Hivi saa ngapi sasa hivi jamani!?

Saa yangu imepoteza simu!
 
Wakurya wengi wanaishi pande hizo...sijui ilikuwaje ila ndio hivyo
aisee ni kama ilivyo kibamba, mbezi na kimara kulivyojaa wachaga, ukiwa unatoka moshi na basi lolote hadi mfike ubungo stend mnaweza kujikuta mmebaki abiria wawili tu, wote wanashukiaga mbezi mwisho na kimara.....nenda mbagala sasa unaweza kudhani upo ntwara kila ntu...... bhaaaa
 
Duh yaani naona mpk mwenye uzi kapotea maana yamezuka mapya haahaa....tatizo izi Avatar na balaa pale ukutane nae uyo mwnyw ukikumbuka post na topics zake shidaaaa...back to the thread niko Iringa hapa kwa town eti.
 
Duh yaani naona mpk mwenye uzi kapotea maana yamezuka mapya haahaa....tatizo izi Avatar na balaa pale ukutane nae uyo mwnyw ukikumbuka post na topics zake shidaaaa...back to the thread niko Iringa hapa kwa town eti.

Sijapotea Mc Donald Jr, weka anwani yako utuambie upo iringa sehemu gani.
 
Back
Top Bottom