Aliyekuuliza mumeo nani?
Karibuni tandale
Tukishafahamiana?
Tukishafahamiana?
Ni kweli, dunia imebadilika, unacheka na kila mtu ukidhani marafiki wema kumbe kila mmoja anakuwazia lake, then uwarahisishie na address kwenye profile yako, unajipenda???Humu ndani kuna majitu ya kila aina eti tufahamiane ya nini
kuna jamaa alikuwa anachate na mtu kwenye whatsapp kesho yake wakaonana baada ya kusafiri toka dar na kuja mkoani jamaa akidai ni mfanyabiashara akampa na sehemu ya kulala jamaa asubuhi yake kaondoka na flatscreen ya inchi 32 na ndipo kutoa taarifa wakamkamata akipanda magari ya kwenda dar
nasema hakuna haja ya kufahamiana zaidi
kisha mnafunuana....
Shame on yuuuuuuuuu
kwani hupendi?
Sipendi ndio... tena najisikia tuhasira hasira sababu yako...
you are welcome mrembo.........nikuwekee filigisi au miguu ya kuku?Mgeni wako weekend hii..........
Pole mwaya,
samehe mara saba sabini..