Kwenye samaki aliwakamata wahusika hewa, maana wote waliachiwa na walidai fidia ya meli yao, kwenye nyumba nako majanga maana baadhi ya nyumba zilirudishwa serikalini, kwenye sukari ndio alituumiza kabisa maana tulinunua kilo elfu 6 badala ya elfu 2, mwisho akavunja agizo lake la kuzuia sukari za nje na sasa tunakunywa za nje na imedhihirika alikurupuka bila kufanya utafiti viwanda vya ndani haviwezi kututosheleza kwa sukari so kote unakomsifia aliharibu tu.,Huko siyo kushindwa. Kwenye samaki alishinda kwa kuwakamata wahusika, kwenye kivuko alishinda kwa kukinunua, kwenye sukari alishinda kwa kufanikisha upatikanaji wa sukari, kwenye nyumba alifanikisha kuipunguzia serikali mzigo wa ukarabati (ndiyo maana hata akina Mzee Lowasa na Sumaye wanazo hizo nyumba).