Umepinda kweli siku hiziNchi ya ajabu na watu wa ajabu
Ilikuwa lazima aende kwenye kukaribisha ndege maana inahusu serikali yake. Kagera kwenye janga kubwa la watu kupoteza uhai hakuwa na haja ya kwenda maana halikuanzishwa na serikali wala CCM. Ni jambo la kipaumbele tu, msihofu na hii ndio Tanzania yetu.Mapokezi ya ndege mpaka raisi kweli nchi hii inamaajabu
Nikisema huo mpango wa kufufua ATCL kwa kuleta ndege mpya ni mediocre, watu wanashangaa!! Kwa kuwa waTZ wamezoea mediocrity, basi wao ni kushangilia tu bila kuwaza na kujiuliza maswali magumu.ATC ilianzishwa miaka 39 iliyopita ikiwa na ndege zake kumi mpya na mbili za kukodi. Sasa badala ya Watanzania kutafuta majibu ya nini kilichoifikisha ATC hapa ilipo (ambapo haina hata ndege moja) na kudai kupewa uthibitisho kwamba hii hali haitajirudia tena, wanatukuza na kushangilia pesa yao ya kodi kuunguzwa kwenye mradi ambao kiuhalisia hautakuwa na tija. Na kwa nini serikali ijiingize kwenye kufanya biashara moja kwa moja, tena ya rejareja, ilhali jukumu la serikali ni kukusanya kodi, kuratibu na kuweka mazingira mazuri ya shughuli za kiuchumi nchini?
Uhuru ambao walikuwa wanamlilia Rais hawalipwi hela unategemea wasiandike ni kipeperushi ambacho kipo taabani sababu hakina wateja na wanunuzi wake ni watu wa ccm
Kwani habari na uhuru sio magazeti we mbulula?
Hivi taifa staz inapofanya vizuri,na azam fc inapofanya vizuri.roho yako huzuuzika na ipi?Kw
Kweli sisi ni masikini sana kiuchumi. Tunashangilia ndege moja au mbili wakati kuna mashirika binafsi yenye ndege zaidi ya 3000
Kwenye vitu vya kijinga ambavyo vina nia ya kudanganya watu lazima tupaze sauti..ndege imefika hutaki wananchi wako waione kwani umeileta kwa ajili ya familiaDenis denny mmekuwa wapayukaji utadhani mna utapia mlo
.....Nikisema huo mpango wa kufufua ATCL kwa kuleta ndege mpya ni mediocre, watu wanashangaa!! Kwa kuwa waTZ wamezoea mediocrity, basi wao ni kushangilia tu bila kuwaza na kujiuliza maswali magumu.
Hii habari imekaa poa, 99%hawapandi ndege hiyoNawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
....Kwenye vitu vya kijinga ambavyo vina nia ya kudanganya watu lazima tupaze sauti..ndege imefika hutaki wananchi wako waione kwani umeileta kwa ajili ya familia
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Kwa hiyo Uhuru na Habari Leo wanaziponda? Huku kwingine ulikuwa sahihi1.Kenyatta kama mfuatiliaji lazima ajue, hata hivyo inayonunua kama ulivyosema ni KQ si Kenyan government wakati hizi ndege mbili zimenunuliwa na serikali ya tz kwa ahadi ya JPM.
2.Kushangilia huko unakokushangaa ni kwasababu tumejitutumua kununua vindege viwili wakati kwa muda mrefu hatukuweza kufanya hivyo. KQ hawawezi kushangilia kama sisi kwasababu washapita hatua hii miaka mingi iliopita.
3.Walioipa hii habari kipaumbele na kuwa habari ni wale wanaoziponda hizi ndege. % kubwa ya habari zibahusu ndege hizi ni kuponda. Jivunie mafanikio yako hata kama ni madogo.
Wewe ni miongoni mwa viumbe wasiotumia akili na wavivu wa kutumia japo 0.001% ya ubongo. Wewe uliambiwa kuwa ndege ilitua restricted area (jeshini), sasa hao waandishi wa habari walifahamu hilo? Na kama walifahamu walijaribu kutafuta security clearance? Au ndiyo waandishi wasiotambua majukumu yao?Kwenye vitu vya kijinga ambavyo vina nia ya kudanganya watu lazima tupaze sauti..ndege imefika hutaki wananchi wako waione kwani umeileta kwa ajili ya familia
Waliwafukuza waandishi habari kwenye mapokezi,wanatakiwa wasiandike kabisa.