Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,633
- 2,759
Ile habari ilikuwa inawahusu wale waandishi ambao zaidi ya miezi 7 hawajapokea mishahara, ata sijui wanaishije na familia zao?.
Kama wafanyakazi hawajalipwa miezi karibu 6 unategemea nini? Watajishughulisha kupata habari au nini cha kuandika?Kwani habari na uhuru sio magazeti we mbulula?
Gazeti la Nipashe nalo ni Bavicha.....??? mwanzoni mwa mwezi huu lilikuja na front page ya habari ya hiyo ndege tuu na kilichoniacha hoi kwenye ya subtitles zake ikaandika, bei ya nauli hadi mama ntilie kuzimudu.........Habari ya hii ndege walioisambaza na kuipa airtime ni wenye chuki kina bavicha, sikuwa naona umuhimu wa kuishikia bango ndege hii.
Siasa za ajabu na viongozi wa ajabuNchi ya ajabu na watu wa ajabu
Asante kwa kufuruDkt Magufuli hatoshishindwa kwa sababu ktk maisha yake hajawahi kushindwa! Nyie wanafiki wa chama mfu chandomo mnaweza kupiga mayowe na makelele ila lazima ashinde tu! Dkt Magufuli ni mkono wa Mungu, ndiyo maana kila goti lazima lipgwe, kila jiwe lazima lipinduliwe! Poleni sana kama mnasubiri ashindwe kwani mtakufa kwa presha enyi wanafiki na waongo
unaposema uzalendo una maanisha nini?Hivi mnafanya haya yote kwa faida ya nani nyie vijana msio na uzalendo?????
Una uhakika na ulichoandika??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndo tanzania bwana, makamu wa rais anaalikwa kwenye ufunguzi wa choo cha jiji, mbunge anaalikwa kwenye uzinduzi wa lift za jengo, Waziri mkuu anaalikwa kwenye ufunguzi wa kanisa. Rais analikwa kwenye uzinduzi wa barabara na majengo ya PPF na NSSF, Sasa kama hawana kazi ya kufanya wafanye nini? We siku ukinunua shati jipya mwalike mkuu wako wa wilaya kuja kufanya ufunguzi rasmi.
Mapokezi ya ndege mpaka raisi kweli nchi hii inamaajabu
Kutokuwa na chembe ya unafiki kwa taifa lako.unaposema uzalendo una maanisha nini?
Hivi hayo magazeti uliyo yataja kuna mtu anayasoma?Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Bila kuitaja bavicha hupati posho ya buku 3 za lumumba?Habari ya hii ndege walioisambaza na kuipa airtime ni wenye chuki kina bavicha, sikuwa naona umuhimu wa kuishikia bango ndege hii.
Kipya kinyemiMapokezi ya ndege mpaka raisi kweli nchi hii inamaajabu
Mimi na fast jet tutumerudo zama za layland nawakat huu ni zama za yutong
tatizo ni ushindani na kampuni zilizopo na zenye ndege nzr za kuvutia
Hiyo habari ya reli ni ngumu kwani wakubwa wana malori kibaoBora tungewekeza kwenye usafiri wa reli ambao wananchi wengi wanatumia ndege waachie mashirika binafsi kama precision fastjet nk
Wanasoma watu wa lumumba tuKwani habari na uhuru sio magazeti we mbulula?
Kenya wametuonyesha kuwa wanatupenda sisi watanzania kwa kuwa taifa lenye upendo na watanzania kwa kuwajali ndugu zetu wa kagera kwa kujitolea misaada ya kibinadamuAcha unafiki .nenda uko ukaishi Kenya. Heko jpm
Kwani serikali si walishajiondoa kwenye biashara ndio maana hiyo iliwahi kuwa chini ya uendeshaji wa Afrika ya kusiniKweli kabisa, kwanza huu si wakati wa serikali kufanya biashara. Tumeshindwa kuendesha mashirika kama Tanesco tunataka kuendesha ATCL