Magazeti yaipa kisogo ndege ya Rais Magufuli

Manyumb.u katika ubora wao wa kupinga pinga na kukejeli. Haujui zile Dreamliner za Kenya zilivyokuwa zinawasili zilipewa promo hadi wa Tz tulijua. Nyie ni kama vichawi kazi yenu ni kuiombea mabaya nchi yenu halafu mnajiita wazalendo, hasara hii kwa taifa.
KATAA KUWA NYUMB.u
Sasa wewe unataka kufananisha Dreamliner na hivi vichopa tulivyonunua?
 
Hapa nina magazeti saba, Matano yameandika kuhusu ujio wa ndege. Tanzania Daima na Raia Mwema hayajaandika. Mtoa mada unaposema magazeti ya yameipa kisogo habari ya ndege wewe unaonesha kuwa jinga kabisa. Gazeti la Chama mfu CHADEMA tokea lini kikaandika kuhusu maendeleo ya Tanzania? Ni sawa na kuandika uhawara wa Mbowe na Mukya.
 
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?

Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.

Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?

Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.

Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo

20160921_042746.jpg

20160921_042847.jpg

20160921_042922.jpg

20160921_042938.jpg

20160921_042952.jpg

20160921_043006.jpg

20160921_043036.jpg

20160921_043104.jpg

Ungekuwa Muwazi tuu kwa kusema Tanzania Daima hawajapost issue ya ndege mpya otherwise inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na akili finyu kwa kupinga maendeleo ya Taifa Lako.
 
Sizitaki mbichi hizi! Kwi kwi kwi.... Jana nilikuona na mkamera wako mkubwa unakula msoto Airport. Mulitangaziwa ndege inakuja saa sita wewe saa mbili tu uko pale Tukawwtimua kwa sababu hatukutaka umbea,
Leo unakuja hapa unajifariji
Aibu ni kwa yule anayejitapa kuleta ndege mpya na nzuri halafu hataki zipigwe picha wananchi wake wazione,Je wananchi wake waamini maneno ya Zito kuwa ndege ni za mtumba?
 
WaTz wenzangu ni watu wa ajabu sana.... Kipindi kile ndege hakuna kelele zilikuwa nyingi leo zimekuja majungu kibao
 
Hapa nina magazeti saba, Matano yameandika kuhusu ujio wa ndege. Tanzania Daima na Raia Mwema hayajaandika. Mtoa mada unaposema magazeti ya yameipa kisogo habari ya ndege wewe unaonesha kuwa jinga kabisa. Gazeti la Chama mfu CHADEMA tokea lini kikaandika kuhusu maendeleo ya Tanzania? Ni sawa na kuandika uhawara wa Mbowe na Mukya.
Sasa mbona unahasira na Mbowe kama umeguswa na kitu chenye ncha kali
 
Mbona gazeti la Uhuru limeandika kuwa jmp anunua ndege
 
Manyumb.u katika ubora wao wa kupinga pinga na kukejeli. Haujui zile Dreamliner za Kenya zilivyokuwa zinawasili zilipewa promo hadi wa Tz tulijua. Nyie ni kama vichawi kazi yenu ni kuiombea mabaya nchi yenu halafu mnajiita wazalendo, hasara hii kwa taifa.
KATAA KUWA NYUMB.u
Vidonda vimetoneshwa....poyee
 
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?

Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.

Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?

Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.

Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Kwahiyo na wew unasapoti, unakua kama msichana anaetongozwa na kukubalikila neno aambiwalo! Kwaiyo usikalili
 
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?

Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.

Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?

Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.

Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Hao wahariri unaowasifu wameandika kuwa walizuiliwa kuingia airport kuiona ikitua. Halafu wewe unaonesha ujinga wako humu JF!
 
Kweli kabisa, kwanza huu si wakati wa serikali kufanya biashara. Tumeshindwa kuendesha mashirika kama Tanesco tunataka kuendesha ATCL
Acha kukalili, kunakitu kinaitwa scale of preference! So unakua namahtaji mengi unayapanga jinsi gani uta ya fulfill
 
Ndege yenyewe ina uwezo wa kwenda km 2500, kutoka Canada to Tanzania imetua mara tano bado tunajitapa, mwishowe tutaiandika baba yako anayo?
 
Hapa nina magazeti saba, Matano yameandika kuhusu ujio wa ndege. Tanzania Daima na Raia Mwema hayajaandika. Mtoa mada unaposema magazeti ya yameipa kisogo habari ya ndege wewe unaonesha kuwa jinga kabisa. Gazeti la Chama mfu CHADEMA tokea lini kikaandika kuhusu maendeleo ya Tanzania? Ni sawa na kuandika uhawara wa Mbowe na Mukya.
Hasira za nini sasa!? Waandike wasiandike haibadilishi hali halisi. Watapanda wangapi? Zinatusaidiaje sisi wa huku nduchocho ambao tukiona gari tunalizunguka kulishangaa....... Haya karibu ndege Tz
 
Kwa vile haijaandikwa na tanzania daima ndio anaona haijapewa kipaumbele.... Akili mgando hizi
 
Manyumb.u katika ubora wao wa kupinga pinga na kukejeli. Haujui zile Dreamliner za Kenya zilivyokuwa zinawasili zilipewa promo hadi wa Tz tulijua. Nyie ni kama vichawi kazi yenu ni kuiombea mabaya nchi yenu halafu mnajiita wazalendo, hasara hii kwa taifa.
KATAA KUWA NYUMB.u
Waambie
 
Kilakitu kinacho fanywa na mweshimiwa wanakosoa, wamekua majajii???
 
Tatizo lenu n wivu na roho mbaya na kutotaka mwenzenu afanikiwe mkijifariji kuwa akifeli mtashika nchi... si kwa upinzani huu uchwara unaoshnda unabwabwaja na kutoa matamko yasiyotekelezeka, wanafiki, waongo na vgeugeu leo wanasema hivi kesho vile... walipoti wasiripoti sisi tumemkubal huyu mheshiwa maana anatembea kwny maneno yake... na tutamchagua tena 2020
 
Hasira za nini sasa!? Waandike wasiandike haibadilishi hali halisi. Watapanda wangapi? Zinatusaidiaje sisi wa huku nduchocho ambao tukiona gari tunalizunguka kulishangaa....... Haya karibu ndege Tz

Ndege zimeletwa kwa ajili ya sisi wasomi ambao hatukalii majungu JF tunajituma kwa kutumia akili , maarifa na uwezo tuliopewa na serikali yetu pamoja na kudra za Mwenyezi Mungu. Na kumbuka kwamba kila nchi Matabaka lazima na hatuwezi wote kuwa sawa kiuchumi. Maskini lazima muwepo ili mje kutupigia kelele za njaa zenu.

Serikali ina jali wananchi wake kwa kila Tabaka la uchumi Ndege zilizokuja ni kwa sisi wababe wa kifedha huwezi kupanda nenda kapande mabasi huwezi kuafford mabasi mmewekewa Bajaji na Bodaboda kwaajili yenu.

Elimu Elimu Elimu siku mkielimika na kuacha kutumiwa mtajisikia aibu sana kwa uppuzi mnaouleta humu.
 
Back
Top Bottom