RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,043
- 137,796
Sizungumzii magazeti.Kwa hiyo Uhuru na Habari Leo wanaziponda? Huku kwingine ulikuwa sahihi
Sizungumzii magazeti.Kwa hiyo Uhuru na Habari Leo wanaziponda? Huku kwingine ulikuwa sahihi
Umetoka nje ya mada ili kulinda ujinga wako. Je, kweli Magazeti yameipa kisogo ndege au gazeti mfu ndilo halijaandika?Hasira za nini sasa!? Waandike wasiandike haibadilishi hali halisi. Watapanda wangapi? Zinatusaidiaje sisi wa huku nduchocho ambao tukiona gari tunalizunguka kulishangaa....... Haya karibu ndege Tz
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Kwa mfano ingekuwa/ni mitumba.....waandishi wangegundua hio ni mitumba?!![/QUOTE][QUOTE="nkwarisambu, post: 17723018, member: 270874"]Inawezekana ni mtumba...wameogopa siri kufichuka
Ila lizaboni alisema waandishi walikiwepo tena eti wakapiga mpaka engine Picha...tena wakawa wanamshangaa zitto kudai ndege zetu pendwa ni mtumba....akasema waandishi walizikagua na kugundua ni mpya Kabisa...hahahahaaa...eti waandishi ndo walipewa jukumu la kukagua ndege kama ni mpya au mtumba..Lumumba bwana
@ Lizaboni
Umepinda kweli siku hizi
Mimi ni AU,walikuwa wanatafuta habari inayohusu ndege mpya iliyonunuliwa kwa pesa za wananchi na wala siyo Kiki kama unavyodai,kama mkanda huwa unalegea hata ukikazwa atashindwa MagufuliWewe ni wanzuki au mbege kabisa, mbona waandishi wako hao walikuwa wanatafuta kiki tu. Nyie wanafiki safari hii mtakoma, JPM halegezi kitu
Kama ambavyo mimi siwezi kununua Tanzania daimaSababu haina hadhi ingechafua magazeti bure bora kipeperushi chao cha Uhuru kimeandika ambacho kinalia ukata sababu mtu mwenye akili timamu kununua ni ngumu
Kwa hiyo umefurahia...ni Tanzania DAIMA tu ndio halijaripoti....endelea kuchukia!Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Toka lini wasiojua kusoma wakanunua Tanzania Daima we saizi yako kama ni kipeperushi cha Uhuru jifunge kibwebwe kabisa liwe gazeti lako pendwaKama ambavyo mimi siwezi kununua Tanzania daima
Dkt Magufuli hatoshishindwa kwa sababu ktk maisha yake hajawahi kushindwa! Nyie wanafiki wa chama mfu chandomo mnaweza kupiga mayowe na makelele ila lazima ashinde tu! Dkt Magufuli ni mkono wa Mungu, ndiyo maana kila goti lazima lipgwe, kila jiwe lazima lipinduliwe! Poleni sana kama mnasubiri ashindwe kwani mtakufa kwa presha enyi wanafiki na waongoMimi ni AU,walikuwa wanatafuta habari inayohusu ndege mpya iliyonunuliwa kwa pesa za wananchi na wala siyo Kiki kama unavyodai,kama mkanda huwa unalegea hata ukikazwa atashindwa Magufuli
anzi akiacha ujinga wa kushinda kwenye vinyesi anaweza kutengeneza asaliHabari ya hii ndege walioisambaza na kuipa airtime ni wenye chuki kina bavicha, sikuwa naona umuhimu wa kuishikia bango ndege hii.
Huko siyo kushindwa. Kwenye samaki alishinda kwa kuwakamata wahusika, kwenye kivuko alishinda kwa kukinunua, kwenye sukari alishinda kwa kufanikisha upatikanaji wa sukari, kwenye nyumba alifanikisha kuipunguzia serikali mzigo wa ukarabati (ndiyo maana hata akina Mzee Lowasa na Sumaye wanazo hizo nyumba).Ndomana nikasema wewe ni Kizibo,ni kweli Magufuli hajawahi shindwa kesi ya Samaki,kwenye kununua Kivuko hajawahi shindwa,kwenye Sukari hajawahi shindwa kwenye Uuzwaji wa nyumba za serikali hajawahi shindwa..yatumie makalio kwa ajili ya kukalia usiyape kazi isiyostahili