Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Youngblood

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,504
Reaction score
57,049
85bccad43a7f6fc61f53cc3e71d5529f.jpg

Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J: PM kichocheo cha kukua kwa uchumi hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
 
Sasa tatzo liko wapi hapo?! Na ww tafuta chapa yako uandike lako.au Kama una dukuduku tafuta address ya mhariri uandikie.
 
85bccad43a7f6fc61f53cc3e71d5529f.jpg

Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛M kichocheo cha kukua kwa uchumi hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
hili ndilo gazeti la kufungiwa kwa kuandika uongo mtupu
 
Huyo muhariri anajipendekeza
 
Nilikwenda kijiji fulani mwaka 2014.Baada ya kusalimiana na wenyeji wangu ghafla tumbo la kuhara likanishika nami huyoo nikaingia chooni.Pembeni kulikuwa na gazeti lenye jina hilo limechanwachanwa wee! Sikulitumia nilichukua hankachif yangu kujisafi nikatoka.Mgazeti wa ovyo sana huo haufai hata ku......
 
Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom