Yaani nilifikiri utakuja na hoja za maana. Kukaa barazani nikaiga story huwezi kufananisha na kuwa nimetoka nataka niwahi kufika sehemu flani lakini gari ikahitaji chaji njiani.hutaki kukaa kwa saa moja (dakika 60) kuchaji betri ya gari... Kwa madai ni upotevu wa your precious time.
Kiukweli, hujui kulinganisha vitu. Simu na Gari? Mpaka unatumia gari basi ujue unauhitaji wa kutoka point A-B. Simu unaweza ukaitumia huku unachaji, gari utatembea na charging station?Vipi simu yako nayo huwa unaichaji kwa muda gani? Vipi na hiyo siyo upotevu wa your precious time.
Unamaanisha u mimic sounds? Yaani nisikie sauti feki kwenye spika? Unataka niishi kwa kujidanganya?Hata hizi electric vehicles kama ukitaka zitoe sauti kubwa hilo linawezekana sana tu mbona.
vipi zile mashine za kusaga nafaka, je huwa zinatoa sound fake eeh?Yaani nilifikiri utakuja na hoja za maana. Kukaa barazani nikaiga story huwezi kufananisha na kuwa nimetoka nataka niwahi kufika sehemu flani lakini gari ikahitaji chaji njiani...
the thing ni kwamba, tutake au tusitake... The electric vehicles are here to stay. Therefore, we should get prepared!Yaani nilifikiri utakuja na hoja za maana. Kukaa barazani nikaiga story huwezi kufananisha na kuwa nimetoka nataka niwahi kufika sehemu flani lakini gari ikahitaji chaji njiani...
Usifananishe sauti ya combustion engine na sauti ya motor ya umeme.... Unaandika tu kwamba ilimradi umeandika. Unajua kwanini gari za umeme wanajitahidi kuzipa sound ya combustion engine kupitia speakers? Au ungewauliza Lexus LFA waliwahitaji Yamaha kufanya nini exactly kwenye V10 yao.vipi zile mashine za kusaga nafaka, je huwa zinatoa sound fake eeh?
Maana nazo zinatumia motor, kama vile tu ambavyo gari za umeme zinavyotumia moto...
Kweli, power bank za "mfukoni"! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mchina anawacheki tuu...yakifika huku anatuletea PowerBank hataki masikhara kabisa
Hybrid inafanyaje kaz?Gari kama Prius nyingi sana zimefika mpk zaidi ya km 300,000 bila shida yoyote ile ya battery, lkn pia battery ikizingua unatumia mafuta kawaida tu maana engine yake ni ya kawaida tu1nz-fxe ingawa gari itakua weak kiaina.
Unataka lisiwe linaisha?? Hakuna free energy duniani...Simaanishi hio system ilokuwemo kwenye hybrid, nazungumzia full electric car. Wakati maringi yanazunguka, kwanini mzunguko wa hayo maringi usitumike kuzalisha umeme na kurudisha chaji kwenye betri? Windmill inazunguka ndio inatowa umeme, Hydro Elctric Power turbines zinazunguka na kuzalisha umeme, vipi maringi ya gari yanazunguka lakini hayazalishi umeme?
Mimi huwa nina mpango wa kuja kuifanyia modification pikipiki ya umeme, inavyosepa iwe inajicharge.
Unawaza free energy 😁😁 assume unataka rudisha 1000w ..hivo kwenye matairi resistance itakuepo kubwa sana ili iweze suka 1000w sasa hapo kuna kutembea kweliTafiti ndio hazija maliza, kwa sasa wanatumia lithium na wanaendelea kuproduce lithium batteries na kuharibu mazingira vile vile.
Kweli wanataka battery iwe future.
Kuna swali najiuliza, hivi gari za electric zinapotembea wakati yale maringi yanazunguka kwanini hayarudishi chaji kwenye battery?
Mbna haiitaji akili kubwa sana kujua haiwezekani!! Swali je unataka zizalishe umeme kiasi gani hizo dynamo ( motor) za mbele tuseme je unajua hata ukinyanyua gari juu hizo motor za nyuma mfano ziwe ni za 1hp hazizaweza zungusha motor ya 1.5hp ikiwa full loaded? Kama haziwezi how come unataka na gari litembeeSay hio electric car ina motors za nyuma kupush gari. Wakati wa kuendeshe gari maringi ya mbele yanazungushwa kutokana na ile push ya maringi ya nyuma. Vipi maringi ya mbele hayatumiki kuzalisha umeme kutokana na huo mzunguko
Ushuru wake sunatisha SanaHybrid gari inakuwa na mifumo miwili, ya umeme na injini ya mafuta, kwenye mwendo mdogo gari inatumia umeme(batri) tu, kwenye mwendo mkubwa au betri ikiisha chaji injini inajiwasha kuendelea kuliendesha gari na pia kujaza chaji kwanye betrii. Hiki ndio kidogo ninachojua kuhusu magari ya hybrid kama toyota prius. Hii husaidia kwenye utumiaji wa mafuta kuwa mdogo kwa kilometa
Kwani Tesla roadster in HP ngap?Mbna haiitaji akili kubwa sana kujua haiwezekani!! Swali je unataka zizalishe umeme kiasi gani hizo dynamo ( motor) za mbele tuseme je unajua hata ukinyanyua gari juu hizo motor za nyuma mfano ziwe ni za 1hp hazizaweza zungusha motor ya 1.5hp ikiwa full loaded? Kama haziwezi how come unataka na gari litembee
Nadhani ushuru wa hybrid wanabase kwenye cc za injini tu, ila sijajua la umeme tu wanachaji vipi, wenye nazo watupe uzoefu zaidi