Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,348
12,933
Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.

Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.
 
Infrastructure wise bado sana , umeme haueleweki, miundombinu bado. Lazima tu improve miundombinunkwanza kabla ya kuelata electrical vehicle
 
Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.

Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.
Biashara ya magari ya umeme imeshaanza kuporomoka na sasa tunaelekea kwenye magari ya hydrogen, dunia inakimbia kwa kasi ya ajabu1
 
Kabla ya kukimbilia kwenye umeme, tuanze kutumia gesi kwa sababu ipo hapa hapa nchini na ni nafuu,

Magari ya umeme kwanza ni ghali lakini pia charging cycle za battery zikiisha ndo habari imeishia hapo ..utatakiwa kununua battery mpya ambazo ni ghali mno,

Kwa hiyo gesi asilia ni convenient kwa Tanzania, kikubwa viongezwe vituko vya kuuza gesi asilia,
 
Kwani gari la umeme la kawaida kama IST, RAUM, SPACIO, HARRIER na KLUGER zinauzwaje jombaa?
 
Kabla ya kukimbilia kwenye umeme, tuanze kutumia gesi kwa sababu ipo hapa hapa nchini na ni nafuu,

Magari ya umeme kwanza ni ghali lakini pia charging cycle za battery zikiisha ndo habari imeishia hapo ..utatakiwa kununua battery mpya ambazo ni ghali mno,

Kwa hiyo gesi asilia ni convenient kwa Tanzania, kikubwa viongezwe vituko vya kuuza gesi asilia,
Gari za gesi kwetu zitakuwa gharama sana. Kwanza hatuna mtambo wa kutengeneza LNG, na kutengeneza huo mtambo ni mabilioni ya dola. Pili hatuundi magari, tunafanya tu modifications. Dunia inaelekea kwenye EVs. magari, treni, pikipiki, baiskeli, boti, nk nk.
 
Biashara ya magari ya umeme imeshaanza kuporomoka na sasa tunaelekea kwenye magari ya hydrogen, dunia inakimbia kwa kasi ya ajabu1
Magari ya Hyrdrogen ni ghali balaa. Siyo leo wala kesho yataweza kuyapiku magari ya umeme.
 
Gari za gesi kwetu zitakuwa gharama sana. Kwanza hatuna mtambo wa kutengeneza LNG, na kutengeneza huo mtambo ni mabilioni ya dola. Pili hatuundi magari, tunafanya tu modifications. Dunia inaelekea kwenye EVs. magari, treni, pikipiki, baiskeli, boti, nk nk.
Sasa hivi tunatumia cng, dangote ana fleet zaidi ya 200 za cng, so sio lazima lng
Kwani magari ya umeme tunazalisha, kwa hiyo unashauri vipi , ile gesi iliyopo mtwara tuiache turukie umeme moja kwa moja,
Btw I am not against ev, but nasisitiza umuhimu wa kutumia cng yetu tuliyonayo,
 
Sidhani kama gari za umeme zitatoboa labda gharama za battery zishuke hasa replacement, lakini pia muda wa kucharge hiyo gari upungue zaidi...otherwise wakifikia kwenye self charging....hapo kutakuwa hakuna cha kuwarudisha nyuma
 
Gari za umeme hatuzalishi ila zipo nyingi sokoni, nyingi sana kuliko za gesi. Na hizi siyo rahisi kuzifunga mfumo wa gesi kama za conventional engine. Kama tungekuwa tunazalisha magari ya kutumia gesi au yangekuwa mengi, au soko la magari lingekuwa linaelekea kwenye magari ya gesi ingekuwa sawa.
 
Sidhani kama gari za umeme zitatoboa labda gharama za battery zishuke hasa replacement, lakini pia muda wa kucharge hiyo gari upungue zaidi...otherwise wakifikia kwenye self charging....hapo kutakuwa hakuna cha kuwarudisha nyuma
Bado kunachangamoto lakini ndiyo future ya magari. Wanasema kufikia 2040 nusu ya magari duniani yanategemewa kuwa ni ya umeme. Na trend inaonyesha gharama ya kuunda batteries inazidi kushuka daily.
 
Thread nzuri sana.......JITU kama Lucas mwashambwa huwezi kulikuta kwenye thread kama hizi kwasababu ni li big chawa. Hakika vijana wa tz wanaangamia
 
Mzee baba mawazo yako mazuri ila kwa sasa upatikanaji wa bidhaa za gesi CNG ndio rahisi na nafuu sana, teknolojia yake tumeanza kuimudu na ni rafiki wa mazingira. Kwa umeme wetu wa TANESCO huo tutajitafutia balaa lingine ambalo litatusumbua sana. Ngoja tusome upepo wa uendeshani wa treni za umeme SGR kwanza ndio tujitathmini.
 
Back
Top Bottom