Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

Hejafar

Member
Jun 15, 2021
8
4
Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar.

Na gharama zake zipoje?
 
kuhusu gharama siwezi kudanganya sijui ila vijiwe vipi viwili jangwani na gerezani
 
Unatak kusafirisha nn kwnza?, semi mwanza inaenda kwa 3.7m na tandam 2.2m
 
Ukitak magar ya uhakika daily kuna kampuni moja ipo karibu na makao makuu ya yanga jamaa wapo gud sana kiujumla sio wababaishaji, ukipenda ntakupa namba zao unawachek ddirect
Asa
Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar.

Na gharama za

Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar.

Na gharama zake zipoje?
Asante Sana
 
Ukitak magar ya uhakika daily kuna kampuni moja ipo karibu na makao makuu ya yanga jamaa wapo gud sana kiujumla sio wababaishaji, ukipenda ntakupa namba zao unawachek directly
Nitumie namba zao plz
 
Asa

Nitumie namba zao plz
Contact zao hizo hapo
20210609_150620-1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom