baba yako hamfikii hata kidogo huyu Mohamed saidi,acha chuki za kipumbavu weweKizee na udini wa kenyewe kamebaki kanapigwa vumbi tu! Kamekua na kukaa na watu wazito mtaani lakini hakajanufaika na chochote itakuwa kalikazania madrasa badala ya elimu dunia!
Ni mme wako mkuu? Huyu hana lolote anapigwa vumbi tu la mjini!Yawezekana
baba yako hamfikii hata kidogo huyu Mohamed saidi,acha chuki za kipumbavu wewe
Asante mtani! Kuna posts zangu nakupiga madongo lakini usijali ni utani tu mtani wangu!Manjagata,
Ahsante sana nasahihisha.
Mimi pia nilijiuliza sana, Makwaiya yupi huyo.Manjagata,
Ahsante sana nasahihisha.
Mzee naye aache ushubwada! Amejuaje kama wamo humu? Ametaja watu kama 10 hivi wale maarufu waliokuwa pamoja si angewapigia simu tu kuliko kuja kutusumbua hapa!
Duh aisee hii jf ya siku hizi jamani?Hata sisi tunafiwa pia.
Na hatuleti misiba mitandaoni.
Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.
Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Kwamba wewe uliejiunga humu 2018.Duh aisee hii jf ya siku hizi jamani?
Evil...Kumbe umesomeshwa na wakatoliki halafu unamkubali Allah kuliko Yesu namna gani Mzee Mudi
Inaonekana we ni kijitu chenye roho mbaya🤗Bora hata kilichonivua nguo.
Wengine hawajui ndugu zao kama wapo au hawapo, wamekufa au wako hai.
Wangine wamepigwa nondo vichwani wako ICU.
Ila kizee kimoja kinataka watu wake wakipata shida ndio kila mtu asikitike
Majitu yenye ROHO mbaya ndio yana MDUDE.Inaonekana we ni kijitu chenye roho mbaya🤗
Machifu wengi wa zamani walikua waislamu,mfano kina mkwawa,makwaia,mirambo,kinweri,etcusikute hata huyo chief makongoroKuna yule Dada wa USA Linda Beizedenhout amezaa na huyu Magambo anamislead watu kuwa ni mtoto wa Nyerere sasa wengi wanadhani ni Makongoro Nyerere ndio kafa.
Hebu tudadavulie kwa faida ya JF, Chifu Makongoro amefariki kabla Uhuru mwaka 1958, je Nyerere alimchukuwa huyu Magambo Makongoro na kumlea ndio sababu anaonekana ni kama mtoto wa Nyerere wa kumzaa?
Mwisho ningependa kujuwa huyu Magambo Makongoro Uislamu ameupata wapi kama amekulia kwenye familia ya kikatoliki?
Watu wenye roho mbaya hapa duniani wako wengi,na wewe ukiwemoMajitu yenye ROHO mbaya ndio yana MDUDE.
Yalipoga SATIVA RISASI ya KICHWA.
Yalimuua AZORY GWANDA.
Yalimuua AKWILINA.
Yalimuua DEUS SOKA.
Yalimpiga Padre Kitima CHUMA cha KICHWA.
Halafu yenyewe YAKIFIWA au YAKIFA yanataka KILA MTU ASIKITIKE.
Majitu mauaji na mabinafsi yanayofikiri yenyewe tu yana damu yako mengi sanaWatu wenye roho mbaya hapa duniani wako wengi,na wewe ukiwemo
MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA
Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri.
Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee Rais Mwinyi Mikocheni.
Nimepokea taarifa hiyo hapo juu hivi punde.
Magambo tunajuana toka udogo wetu ni mtoto wa Chief Makongoro.
Tulipokuwa shule tukifanya picnic yeye akitupeleka Kigamboni nyumba ya mapumziko iliyokuwa ya Gavana wakati wa ukoloni na kwa wakati ule baada ya uhuru ikawa iko chini ya Mwalimu Nyerere kama Rais wa Tanzania.
Mwalimu alikuwa haitumii nyumba hii na Magambo yeye kwa ule usuhuba uliokuwa baina ya baba yake na Nyerere alikuwa mtoto wa nyumbani State House.
Nakumbuka siku zile hata jina hili la Ikulu lilikuwa bado.
Magambo alikuwa mwenzetu na mchezo wetu ulikuwa mmoja pamoja na Kleist na mdogo wake Ebby, Yusuf Zialor, Wendo Mwapachu, Bubby Bokhari, Christopher Faraj, Abdallah Mohamed Saleh (Tambaza), Abdul Mtemvu, Edward Makwaia (sasa Chief wa Siha), Abdallah Mgambo, Eyshe na Mariam Max, Erica Kisa, Janet Zebedayo, Haitham Rashid, Esther Mzena wenzetu wengine wengi siwakumbuki.
Wenyewe tukijiita Scorpions na wengi tulikuwa wanafunzi St. Joseph's Convent.
Baadhi wemetangulia mbele ya haki.
Miaka ya kati Magambo alikuwa akifanya kazi Inter King iko Mbezi wanafuga kuku.
Mara ya mwisho miaka michache nyuma mwezi wa Ramadhani tulikutana Masjid Ngazija alikuwa na Abraham Sykes.
Nakumbuka siku ile walinishambulia sana kwa kunichangia ati mie najidai sana na Msikiti Ngazija nauona kama mali yangu nikiwaona wao wanakuja kusali pale roho inaniuma.
Haya ndiyo yalikuwa mapenzi yetu tulikutana lazima tubwatizane huku tunacheka.
Nilipoteana na Magambo kwa muda hatujaonana.
Allah amsamehe na amtie Firdaus.
Amin.
View attachment 3339866
Magambo Makongoro
Upo Sawa kabisa Mkuu. Ila pia alikuwa kampuni ya BANDAG.Pole sana mkongwe mwenzangu. Hiyo kampuni inaitwa Interchick mkuu