Magaidi wasihusishwe na Uislamu

Magaidi wasihusishwe na Uislamu

na kule kibiti je ?,na kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha staki shari je? na kulipuliwa kwa makanisa pale ari
urusha na geita je?,,,kule kuna balozi za marekani?
Hayo yote yangekuwa yanafanywa kwa mafundisho sahihi ya Uislamu basi hii dini ingekuwa imeshapigwa marufuku kuwepo hapa duniani. Kuwa na open mind ndugu yangu.

Bila kujadiliana zaidi kuhusu hayo uliyoyataja hapo juu mi nitakubali kuwa Uislamu ni ugaidi ikiwa na wewe utakubali kuwa Ukristo ni ugaidi mkubwa zaidi kulingana na mauaji makubwa zaidi yaliyofanywa kwa jina la Ukristo kupitia vita ya msalaba.

Ukimuna Imam/Padre amezini usiseme Waislamu/Wakristo ni wazinifu huo unakuwa ni ufinyu wa firkra na uzembe wa kutafakari mambo.
 
na kule kibiti je? kulikuwa na ubalozi wa MAREKANI?

ok!!,,vita ya msalaba ilitokana na issue hii,,,ujue wa2 wengi wanafikiri IS [ISLAMIC STATE] ni taasisi iliyoanza jana,no,,IS ilianza miaka mingi sana,chini ya KHALIF wa kwanza!! so ilipigwa JIHAD,,,UISLAM ukateka maeneo mengi sana kuanzia ITALIA,ROMANI,UFARANSA,AFRIKA KASIKAZINI YOTE mpaka SPAIN,,,so UKRISTO ukawa dominated!! kwa kwa siri sana,,,wapiganaji wa kikirsto wakiongozwa na MTAKATIFU VICENT[walimwita mtakatifu baada kufa baada ya kuongoza vita vya kikatil,roho mbaya {vita ya msalaba]ili kuyakomboa maeneo yote wliyoteka waislam chini ya kanisa la ORTHODOX,,,unaona bwana,,so wakati waislam wamerlax na kujiamini wameshashinda,majeshi ya kikristo yakawa yamejichimbia kwenye mapori ya POLAND na HUNGARY,,wakipitia mafunzo mchanganyiko wa makabila mbalimbali ya vita duniani,,waliomba msaada kutoka kwa wakufunzi kutoka kwa makabila kama wahindi wekundu,wachina,tajiksatn,belarus,wazulu n.k,,,{walipitia mafunzo magumu mno kwa sasa unaweza kusema kama MAKOMANDOO]....so,,,,,baada ya hapo wakaanzisha balaa,,,sasa kwa nini walifanya ukatili wote huo hao wakristo,ni kwamba wakati waislam wanapigana na kuteka walikuwa wanachinja bila huruma,,,sasa nao wakaona tulipize kisasi kwani kama ujuavyo waislamwakiwa vitani wakimkamata adui lazima achinjwe,tena kisu kiaanzia nyuma ya shingo,,,basi bwana,,,unaambiwa lilipigwa VANGA mpaka waisalam wakaachia maeneo,,,,,mimi sizungumzii dini naongea fact!!
 
Unaweza ku-share reference ya hizo fact zako?
 
Unaweza ku-share reference ya hizo fact zako?
tafuta mwenyewe mkuu!!,,,,,ok,ingia google ulizia historia ya vita ya msalaba,historia ya islamic state,achana na hii inayoelekea kufa,,,na jiulize kwa nini ukristo uliopo libya,misri,morocco, au tuseme mataifa ya kaskazini mwa afrika ni ORTHODOX!!,,,,,ok ipo siku ntafanya ivo,lakini unefanya mwenyewe ndo uneamini zaidi!!!,,,lakini sijui kama,unajua mtume MUHAMMAD S.W.S lipigana vita vitakatifu mpaka akaenda kuomba hifadhi kwa mfalme wa KUSHI ?[ETHIOPIA],,lizidiwa sana,,ETHIOPIA wakti huo nampka sasa ni taifa lakikristo chini ya ORTHODOX,,,mfalme akamwambia mtumishi aliyetumwa na MUHAMMAD ili kuomba hifadhi,,,,"bwana wako anaamini nini ktik IMANI?jamaa akajibu anaamini ktk MUNGU mmoja,,,basi mfalme akamkaribisha m2me!!....ingawa baadae sana UISLAM uliposhika kasi na kuenea maeneo ya sudan na somalia,,WAISLAM wakasahu historia KHISAN aliyofanyiwa m2me wao, wakaanza chokochoko kwa ETHIOPIA ndo manake mpaka kesho WAKUSHI hawawapi nafasi ya urafiki hata kidogo hawa wasomali na wasudan kwani wamegundua hawafadhiliki,,,,,ni rahisi sana kujenga msikiti ktk nchi yoyote yenye mfumo wa kikristo,,,lakini ni vigumu mno kujenga kanisa kwenye nchi za kiislam!!
 
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.
  1. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?​
  2. JE, Wale wanaopigwa na Waislamu wameshindwa na wao kujitetea au dini zao haziruhusu kujitetea?​
  3. Je, umewahi kusikia kundi la kigaidi la Kristo?​
  4. Nimekupa historia ya makundi ya kigaidi ya kiislamu, naomba nawe nipatie ya kikristo ya kigaidi ili mjadala u-balance alafu tuchangie sasa hoja.​

ISIS MOZAMBIQUE :ISIS Msumbiji, pia inajulikana kama Jimbo la Kiislamu la Jimbo la Afrika ya Kati (ISCAP) au kwa kifupi Jimbo la Kiislamu nchini Msumbiji, ni kundi la Kiislamu lenye itikadi kali linalofanya kazi katika sehemu ya kaskazini ya Msumbiji. Kundi hilo ni mshirika wa shirika la kigaidi la kimataifa ISIS (Jimbo la Kiislamu la Iraq na Syria). ISIS Msumbiji imehusika na vitendo vingi vya vurugu, ikiwa ni pamoja na mashambulizi dhidi ya vijiji, miji, na vikosi vya usalama, na kusababisha hasara na uhamisho mkubwa wa wakazi wa eneo hilo. Shughuli za kundi hilo zimechangia mzozo wa kibinadamu katika eneo hilo

KIBITI TANZANIA: Hapo ni Tanzania, miaka ya 2016-18 , hawa sijapata habari zaidi, naomba mwenye nazo atujuze .
The Abu Sayyaf Group:-Kundi la Abu Sayyaf (ASG) ni kundi la wanamgambo wa ki-islamu, kijihadi walioko kusini mwa Ufilipino.
Inajulikana kwa kuhusika kwake katika utekaji nyara kwa ajili ya fidia, milipuko ya mabomu kwa wakristo, na vitendo vingine vya jeuri. Kundi hilo limehusishwa na mitandao ya kimataifa ya kigaidi, ikiwa ni pamoja na Al-Qaeda. ASG inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Marekani, Ufilipino, na Uingereza.

ISLAMIC JIHAD wanaoishi Palestina The Palestine Islamic Jihad (PIJ) ni kundi la waislamu ma-Sunni Islamist wanaotaka kuundani nchi ya kisuni ya Palestinian ambayo imedhamiria kuifuta Israel.

Magaidi HAMAS ,Hamas ni shirika la Wapalestina la Kiislamu ambalo lina mirengo ya kisiasa na kivita. Ilianzishwa mwaka 1987 wakati wa Intifadha ya Kwanza (maasi ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Israel). Hamas inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika kadhaa, ikiwa ni pamoja na Marekani, Israel, Umoja wa Ulaya, na wengine. Inajulikana kwa shughuli zake za kijeshi na udhibiti wake juu ya Ukanda wa Gaza, eneo katika maeneo ya Palestina .

JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

ANSAR DINE: Ansar Dine ni kundi jingine la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi nchini Mali na Sahel. Ilianzishwa mwaka wa 2012 na Iyad Ag Ghaly, kiongozi wa Tuareg ambaye hapo awali alihusika katika uasi wa Tuareg katika eneo hilo.
Lengo kuu la Ansar Dine ni kuweka sheria kali ya Kiislamu, hasa kaskazini mwa Mali. Kundi hilo linataka kuanzisha serikali ya Kiislamu inayotawaliwa na tafsiri yake ya sheria ya Sharia.
Ansar Dine amehusika katika migogoro nchini Mali, ikiwa ni pamoja na mzozo wa Kaskazini mwa Mali wa 2012. Kundi hilo limekuwa na uhusiano na mashirika mengine ya kijihadi, ikiwa ni pamoja na al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM)

AL MARIOTM: Al-Mourabitoun, pia inajulikana kama Al-Mulathameen Brigade, ni kikundi cha Kiislamu chenye msimamo mkali kilichoanzishwa mwaka wa 2013. Kilianzishwa na Mokhtar Belmokhtar, kiongozi mashuhuri wa kijihadi anayejulikana kwa kujihusisha na shughuli mbalimbali za wanamgambo huko Afrika Kaskazini.
Malengo ya kundi hilo yalijumuisha kuanzishwa sheria za Kiislamu na kupinga ushawishi wa nchi za Magharibi katika eneo. Al-Mourabitoun ina uhusiano na al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM).
Al-Mourabitoun imekuwa ikijihusisha na vitendo vingi vya kigaidi, vikiwemo mashambulizi dhidi ya shabaha za kijeshi na raia na utekaji nyara. Wamelenga maslahi ya Magharibi na wamechangia kukosekana kwa utulivu nchini Mali na eneo la Sahel.

TALIBAN: Taliban ni kundi la Kiislamu lenye msimamo mkali ambalo lilianzia Afghanistan mwanzoni mwa miaka ya 1990. Jina "Taliban" hutafsiriwa kwa "wanafunzi" katika Kipashto, kuonyesha asili yao katika shule za kidini. Kundi hilo lilipata usikivu wa kimataifa na sifa mbaya kwa tafsiri yao kali ya sheria za Kiislamu na utawala wao nchini Afghanistan kutoka 1996 hadi 2001.

BOKO HARAM: Boko Haram ni kundi la wanamgambo wa jihadi lenye makao yake kaskazini mashariki mwa Nigeria. Ilianzishwa mwaka 2002 na tangu wakati huo imepanua shughuli zake hadi nchi jirani katika Bonde la Ziwa Chad, ikiwa ni pamoja na Cameroon, Chad, na Niger. Jina la kikundi, "Boko Haram," linatafsiriwa kwa urahisi kuwa "elimu ya Magharibi imekatazwa" katika lugha ya Kihausa. Boko Haram inajulikana kwa uasi wake mkali, unaojumuisha vitendo vya kigaidi, utekaji nyara, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Kundi hilo linataka kuanzisha aina kali ya sheria za Kiislamu katika eneo hilo na limehusika na ukatili mwingi. Inajulikana sana kama shirika la kigaidi na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa. LImeua wakristo zaidi ya 6000 na kuteka watoto 300 na kuwapa mimba wote, wengine waliojaribu kutoroka waliuawa maeneo ya maiduguri.​
Boko Haram, inayo maanisha “Jama'atu Ahl as-Sunnah li-Da'awati wal-Jihad” (JASDJ; Group of the Sunni People for the Calling and Jihad) and “Nigerian Taliban”—other translations and variants are used—is a Nigeria-based group that seeks to overthrow the current Nigerian Government and replace it with a regime

AL QUEDA IN MGREV:Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi katika eneo la Afrika Kaskazini linalojulikana kama Maghreb, ambalo linajumuisha nchi kama Algeria, Mali, Niger, Mauritania, Tunisia, na Libya. AQIM ni mshirika wa mtandao wa kimataifa wa wanajihadi wa al-Qaeda na iliibuka katikati ya miaka ya 2000 kutoka kwa kundi la wanajihadi la Algeria liitwalo Kundi la Salafist la Kuhubiri na Kupambana (GSPC).
Malengo: Lengo kuu la AQIM ni kuanzishwa kwa mataifa ya Kiislamu yanayotawaliwa na tafsiri kali ya sheria za Kiislamu katika eneo la Maghreb. Pia wameonyesha hisia dhidi ya Magharibi na wamelenga maslahi ya Magharibi.
Shughuli: Kundi hili limehusika katika shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, milipuko ya mabomu, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Wamehusika na vitendo vingi vya kigaidi katika eneo hilo.
LENGO kuu ni kufanya west africa iwe Eneo La kiislamu/sharia.

AL MUJAWIN BIN DIMA:Mnamo Desemba 2012, Mokhtar Belmokhtar, kamanda wa zamani wa Al Qaida katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM), aliunda al-Muwaqi'un Bil Dima (MBD), kwa lengo la kuzuia uingiliaji wa kijeshi wa Magharibi na Afrika kaskazini mwa Mali na kuweka Sheria ya Sharia. katika Afrika Kaskazini.

ABU SAYAF GROUP:Kundi la Abu Sayyaf (ASG) lilijitenga kutoka Kundi la Kitaifa la Ukombozi la Moro mwanzoni mwa miaka ya 1990 na ni mojawapo ya makundi ya kigaidi yenye jeuri zaidi nchini Ufilipino. Ikiathiriwa na al-Qa'ida mapema, ASG inadai kukuza dola huru ya Kiislamu magharibi mwa Mindanao na Visiwa vya Sulu..
A Shirika la kimataifa la kigaidi lililoanzishwa na Sabri al-Banna (a.k.a Abu Nidal). Iligawanywa kutoka PLO mwaka wa 1974. Iliundwa na kamati mbalimbali za utendaji, ikiwa ni pamoja na kisiasa, kijeshi, na kifedha. Mnamo Novemba 2002, Abu Nidal alikufa huko Baghdad; uongozi mpya wa shirika hauko wazi.​

Mjadala huu hau-husiani na UVCCM kujipenyeza Taifa stars na kumsifia mama badala ya taifa.
Ni Wakristo hao tena wakiwa chini ya Marekani.
 
tafuta mwenyewe mkuu!!,,,,,ok,ingia google ulizia historia ya vita ya msalaba,historia ya islamic state,achana na hii inayoelekea kufa,,,na jiulize kwa nini ukristo uliopo libya,misri,morocco, au tuseme mataifa ya kaskazini mwa afrika ni ORTHODOX!!,,,,,ok ipo siku ntafanya ivo,lakini unefanya mwenyewe ndo uneamini zaidi!!!,,,lakini sijui kama,unajua mtume MUHAMMAD S.W.S lipigana vita vitakatifu mpaka akaenda kuomba hifadhi kwa mfalme wa KUSHI ?[ETHIOPIA],,lizidiwa sana,,ETHIOPIA wakti huo nampka sasa ni taifa lakikristo chini ya ORTHODOX,,,mfalme akamwambia mtumishi aliyetumwa na MUHAMMAD ili kuomba hifadhi,,,,"bwana wako anaamini nini ktik IMANI?jamaa akajibu anaamini ktk MUNGU mmoja,,,basi mfalme akamkaribisha m2me!!....ingawa baadae sana UISLAM uliposhika kasi na kuenea maeneo ya sudan na somalia,,WAISLAM wakasahu historia KHISAN aliyofanyiwa m2me wao, wakaanza chokochoko kwa ETHIOPIA ndo manake mpaka kesho WAKUSHI hawawapi nafasi ya urafiki hata kidogo hawa wasomali na wasudan kwani wamegundua hawafadhiliki,,,,,ni rahisi sana kujenga msikiti ktk nchi yoyote yenye mfumo wa kikristo,,,lakini ni vigumu mno kujenga kanisa kwenye nchi za kiislam!!
Kwahiyo reference yako ni Google? ... hapa ndo tatizo linapoanzia. Mi nimetaka wewe ndo ulete reference ili tuangalie vitu viwili, 1) Authenticity ya reference 2) Content yake na maelezo yake yana-reconcile vp na porojo ulizoweka hapo. Ikiwa historia kila mtu ataielezea inavyompendeza yeye basi hakutakuwa na historia tena.

Kuhusu mtume (SAW) kupeleka watu kupata hifadhi Habash (Ethiopia) hiyo ni kweli lakini sio kwamba walikuwa kwenye vita (sehemu kama ndo maana nikataka ulete reference ili ujifunze/useme ukweli kama ilivyo kwenye historia). Hii ni mada ndefu yenyewe lakini ninapopataka kwasasa ni hapa:-

Uliposema Mfalme Najash alipouliza kuhusu imani anayofundisha Mtume (SAW) na kujibiwa kuwa ni kuamini katika Mungu mmoja, hujasema ni kwanini aliuliza hivyo na response yake baada ya jibu hilo ilikuwa ni nini ...
1) alichora mstari chini kwa gongo lake aliloshika mkononi na akasema tofauti kati ya dini yenu na yetu ni nyembamba zaidi kuliko mstari huu. Hii inamaanisha nini? kwamba yeye alikuwa ni muumini wa mafundisho ya kweli ya Yesu/Issa juu ya Mungu mmoja na sio Ukristo mlionao leo wa kiroma.
2) Kwanini mtume aliwatuma wale watu wake waende specifically Ethiopia na sio kwengine kokote i.e Roma ama taifa jengine lolote ikiwa Ethiopia haikuwa super power na wala yeye Mtume sio mtawala anayeomba msaada kwa mtawala mwenzake? ... ilifuniliwa kwake kupitia Jibreel kuwa huyu ni mtawala mwenye haki na muumini wa kweli vitabu vilivyopita kabla yake (vitabu vyote vya kabla i.e. Taurat, Zaburi na Injili vina message moja nayo ni kuabudu Mungu mmoja)
3) Kuonesha msimamo wake wa support kwa hawa watu alimjibu yule mjumbe wa ma-quraysh (makafiri wa Makka ambao waislamu waliwakimbia kwa mateso yao juu ya waislamu) kuwa sitowakabidhi kwenu hawa watu hata mkinipa mlima wa dhahabu, na akamrudisha na zawadi zake alizokuja nazo kwake.

So in simple language, Uislamu haupingani na mafundisho ya vitabu vya Mungu vilivyokuja kabla bali umekuja kuthibitisha na kukamilisha muongozo wake, na hii ndo sababu Najash aliwapa protection waislamu kwa kuwa wote walikuwa kwenye imani moja.
 
ok,kama unaona google ni issue kanunue kitabu kinaitwa,,,,CROSS WAR VS ISLAM,,,,,,,kinauzwa 560,000....kinapattikakana hasa NAIROBI...fanya ivo
 
na kule kibiti je ?,na kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha staki shari je? na kulipuliwa kwa makanisa pale ari
urusha na geita je?,,,kule kuna balozi za marekani?
na juzi benki za NBC na NMB chanika zimevamiwa na walinzi wa suma jkt wameuwawa,wauji wamejulikana kwamba mashehe,na hilo amethibitisha sheikh ponda,jana wamehukumiwa kunyongwa
 
Back
Top Bottom