Magaidi waishambulia Medina

Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.
Kwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.

Hivi wewe upo Tanzania hii? Hujuwani na Waislam?
 
Kwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.

Hivi wewe upo Tanzania hii? Hujuwani na Waislam?
 
kwani hiyo picha huioni?,we sidhani kama unarank kuwa humu jf,inatakiwa uwe facebook au instar
Yeah, whoever kilaza am I sioni shida.
Ninachomaanisha ni nguvu ya media kwa walimwengu wa leo na jinsi walimwengu hao wanavyopotoshwa na hizo media .
Labda nikuulize,so far ni wangapi kati ya waliotoka povu hapa ambao wame-take into consideration maelezo yako ...!!??
Ninamaanisha watu wanaelewa kile kinachowafurahisha nafsi zao,irrespective of the reality,na hicho ndicho kinachotokea humu
Iftar njema mkuu ,by kilaza wa Facebook
 
My take
If I were a Muslim, there is sufficient evidence that I would need to be a Christian where forgiveness is a necessity, love is the supreme command, peace and tranquility is the overriding stepping stone up the ladder.
 
Wewe usiseme hivyo. Muslims hawezi kufanya hivyo? Wewe ndo uko ndani ya roho za hao Muslims? Imani ni ya mtu mmoja mmoja. Usidhani unavyoamini wewe na ulivyocommited kwa imani yako ukadhani wote wako kama wewe. Roho mbaya haina dini. Haina cha uislamu, ukristo, uyahudi, Ubudha au uhindu. Mtu yeyote regardless of religion affiliation anaweza kufanya hivyo.

Kijana hauujuwi Uislam.

Nnakushauri uusome Uislam kupitia kwa Waislam kabla ya kukurupuka na kuusemea Uislam / Waislam.
 
nimeshtushwa sana na habari iliyoripotiwa na bbc kwamba wanamgambo wa islamic state wanahusishwa na shambulio la bomu lililoua watu wanne nchini saudia katika eneo la madina jirani kabisa na mahali alipozikwa mtume. eneo hili ni eneo takatifu sana kwa waisilamu sasa ikiwa hawa wanaopigania utawala au dola la kiisilam wanawezaje kulipua maeneo yao matakatifu!? hivi adui hasa wa uisilamu na waisilamu ni nani!?
 
My take
If I were a Muslim, there is sufficient evidence that I would need to be a Christian where forgiveness is a necessity, love is the supreme command, peace and tranquility is the overriding stepping stone up the ladder.

And the so called Christians are the master minds of what is happening right now and they confess they have created the monsters, here is the proof:

And the so called Christians are the master minds of what is happening right now and they confess they have created the monsters, here is the proof:

Dada usihangaike nae huyo unapoteza muda wako bure tu,huyo kisha karirishwa,ni kama Sponji vile linameza kila kimiminika.
 
Kuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.

Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
plyhhn
Walikuwa wanachekelea tumboni wanaposikia makafir wameuwawa na magaidi. Wanasahau jini ukilifuga likimaliza majirani kuna siku litageukia wanao na mwisho wa siku linakumalizia wewe mwenyewe. Kama wamepiga jirani na kaburi la Mtume wanayejidai kumfuata tena kipindi muhimu kama hiki cha mfungo hao hawawezi kuwa watu wa kawaida ... Ni mashetani kamili katika umbo la binadamu ...
 
Kuna kitabu cha dini kinaelekeza kuwa "Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa Mzee". Kuna haja ya kujiuliza hawa magaidi wanaoua watu kwa jina na wanaemwamini kuwa ni Mungu wao walilelewa kuifuata njia ipi walipokuwa watoto?
 
Leo watajitetea sana na kuisingizia Islael lakini hakuna asiyejua kwamba imani yao ndo chanzo cha yote haya na hata hapa kwetu matukio ya kuchukia imani za wengine na hata mahubiri kwenye nymba za ibada ni chuki tupu
 
= Israel

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
nimeshtushwa sana na habari iliyoripotiwa na bbc kwamba wanamgambo wa islamic state wanahusishwa na shambulio la bomu lililoua watu wanne nchini saudia katika eneo la madina jirani kabisa na mahali alipozikwa mtume. eneo hili ni eneo takatifu sana kwa waisilamu sasa ikiwa hawa wanaopigania utawala au dola la kiisilam wanawezaje kulipua maeneo yao matakatifu!? hivi adui hasa wa uisilamu na waisilamu ni nani!?
ni waislamu wenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom