Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
hamna msikiti umeshambuliwa,lakini actually lengo la ISIS ni kuvunja misikiti ya zamani eti wanaamini kuwa watu badala ya kuabudi Mungu,wanaabudi makaburi ama hiyo misikiti mitakatifu,wao wanaona huko ni kuabudu sanamu.Nasikia lengo lao ni kulipua kaburi la bwana mtume maana wanasema kuwepo pale ni ibada ya sanamu. Mujiandae watarudi tena kwa nguvu zaidi
Unajua ndoo maana wafalme wa saudi hawataki makaburi yao yajengewe,ili yasigeuke kuwa mahali pa kuabudia,
hiyo ndo imani ya hawa wahabiya,
kabla zilikuwepo tetesi kuwa saud ina mpango wa kulihamisha kaburi la mtume ila kwa kuhofia hasira ya waislamu duniani saud walikanusha,
so bado haya matukio usikute ni false flag tu,