slimshedy
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,049
- 1,012
Wale walikuwa majambazi tu mstake kupotosha umaNisaidieni. Tofauti kati ya hawa wa kule, mohamadi mwenye dini yake, wale magaidi waliochinja binadamu msikitini kule mwanza wakisema wanawatetea waislam wanaoshikiliwa na polisi, waislam waaoshikiliwa na polisi na waislam wengine ni ipi hasa? Naomba ufafanuzi.