Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.
Walikuwa wanachekelea tumboni wanaposikia makafir wameuwawa na magaidi. Wanasahau jini ukilifuga likimaliza majirani kuna siku litageukia wanao na mwisho wa siku linakumalizia wewe mwenyewe. Kama wamepiga jirani na kaburi la Mtume wanayejidai kumfuata tena kipindi muhimu kama hiki cha mfungo hao hawawezi kuwa watu wa kawaida ... Ni mashetani kamili katika umbo la binadamu ...
Maneno ya kijinga na kashifa sio mazuri tukijibu matasema wadini cjui nn hkn muislam yyote anae ufarahi kutoa uhai wa mtu mwingine awe dini yyote ile
 
Huo mlipuko haukuwa bomu au kujitowa muhanga bali ni mtungi wa gesi katika moja ya hoteli jirani na msikiti mkuu wa mtume

Updated:
Wizara ya Habari nchini Saudia wamethibitisha kuwa ni shambulio la kujitoa muhanga, walinzi 4 wamekufa na watu 5 wameumia.
 
Mtiririko wa matukio haya ya kinyama yanayofanyika kwa jina la Muumba ambaye tunaambiwa kuwa ni mwingi wa huruma kwenye vitabu tulivyoletewa....vinanifanya nianze kufikiria upya kuhusu hizi imani tunazokaririshwa.........

Bora nirudi kuabudu kwenye mizimu ya mababu...ambapo mambo yetu yalikuwa poa.....
Mkuu hizi dini ni people's interests basi, bora tukaachana nazo make sahivi wanatwambia tuwapende na mashoga eti ni ndugu zetu. Kwani Mungu alivyowatia kiberiti Sodoma hawakuwa watu wake?
 
Magaidi wa kwanza walikuwa ni KHAWAJIR wao waliredefine maana ya Jihad sio tu vita dhidi ya wasioamini imani yao bali hata kama unaimani ya kiislam lkn unaenda kinyume na wao wanavyoona wewe walikuita ni kafir. Na hawa inasemekana ndio chanzo cha watu kujitoa Muhanga enzi hizo karne ya sita/saba. Inawezekana misimamo hiyo bado ipo duniani hadi leo. Hakuna jipya chini ya jua. TAtizo ni pale tunapokuwa washabiki wa kidini bila kutafuta mizizi ya matatizo yanayokukabili. Na sehemu walipopotelea ni hapohapo leo wapo isis wanapoiua ndugu zao katika imani
kama sijakosea mkuu ulimaanisha Khawariji.
 
Aliyeongozwa na mwenyezi mungu binadamu hawezi kumpoteza na aliyepotezwa na mwenyezi mungu binadamu hawezi kumuongoza ndugu zangu waislm tumuombe mwenyezimungu mwingi wa rehma atatulipa yaliyo mema kabisa hila za makafiri hazikuanza leo miskit hii ulinzi wake ni kwa mwenyewe allah kama haya yanatokea basi tujue athabu kali ya mwenyezi mungu haipo mbali sana napata hofu kubwa moyon mwangu tumuombe mwenyezu mungu atuepushe yarabi
 
Mkuu hizi dini ni people's interests basi, bora tukaachana nazo make sahivi wanatwambia tuwapende na mashoga eti ni ndugu zetu. Kwani Mungu alivyowatia kiberiti Sodoma hawakuwa watu wake?

Maswali ni mengi kuliko majibu......
 
Leo hii magaidi sio waislamu kwa kuwa kuwa wameua waislamu mbona wakiua kijiji cha wakristo mnashangilia.Inawapasa mjiulize kwanini wanatumia dini ya kiislamu kufanya ugaidi wakati zipo dini nyingi duniani
 
Kuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.

Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
Ndo pale unapokuta misemo ya wahenga inaleta maana tena imeshiba kweli(mchelea mwana kulia,hulia mwenyewe)-walisema hawa watu ni watetea dini sasa now ndo mtawajua kuwa si lolote na maneno ya #dontrump ingawa yana ukakasi lakini ni ukweli mtupu
 
This is too much now! Haya dunia na isimame kidete sasa dhidi ya wauwaji hawa wasiokuwa na utu wala huruma. Nitashangaa mtu yeyote awe mwislamu au yeyote yule iwe humu JF au nje atakaye simama upande wa hawa mashetani. Dini inatekwa hii msipokuwa makini. Cc: FaizaFoxy Ritz abui7 Pohamba kahtaan THE BIG SHOW et. al.
Hawa akina faizafoxy ulowamention hawa lolote lile la kusema,hao ni wapiga zumari labda ungem mention#barackObama# ili ajue #Donaldotrump# sometimes huwa anaona mbali
 
Thats why huwa nasema magaidi huwa si waislam, inawezekana wakahukumiwa ni waislam kwa rangi, majina n.k lakin nyoyoni mwao kabisa hawana uislam hata chembe, siwatofautishi na hussein lakin mzinifu, choki n.k.. Uislam ni zaid ya jina na takataka nyingne, sijawahi kufurahia hawa wanaojiita watetez wa uislam kuwaua binadamu wengine.. Uislam ni kitu kimoja na Ugaidi kitu kingine.
Acha uongo nilishawahi kusema kuwa hawa watu ni KULWA na DOTTO,huwezi kutenganisha Uislamu na Uuaji wa watu wasiokuwa na hatia ni ajabu sana watu wengine wanajaribu kuupaka rangi Uislamu ilihali Uislamu ulishafungamanishwa na Magaidi toka siku nyingi wanaojaribu kuupaka rangi nzuri wanajidanganya wenyewe,mifano ipo wazi kudhibitisha hili,Huko Kenya westgate na huko Garissa wengi walifurahia kuuwawa kwa watu waliokuwa si waislamu licha ya hayo yanayotokea huko ilikotokea hiyo dini yanatufundisha kujua hii dini ni ya namna gani.
 
Hao tusiwalaumu sana, wao walianza kuwepo baada ya nchi zao kuwa madikteta uchwara pia km huyu wa lumumba hapa.
 
wale fanatics so far sijamuona hata mmoja....Uzi tangu jana kasi ya kinyonga..
 
Acha uongo nilishawahi kusema kuwa hawa watu ni KULWA na DOTTO,huwezi kutenganisha Uislamu na Uuaji wa watu wasiokuwa na hatia ni ajabu sana watu wengine wanajaribu kuupaka rangi Uislamu ilihali Uislamu ulishafungamanishwa na Magaidi toka siku nyingi wanaojaribu kuupaka rangi nzuri wanajidanganya wenyewe,mifano ipo wazi kudhibitisha hili,Huko Kenya westgate na huko Garissa wengi walifurahia kuuwawa kwa watu waliokuwa si waislamu licha ya hayo yanayotokea huko ilikotokea hiyo dini yanatufundisha kujua hii dini ni ya namna gani.
Nawale anti baraka ni waislam
Kama magaidi yangepiga kanisani ungewaona wanakuja na mbwembwe nyingi sana na visingizio lukuki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom