Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.

nyiokunda

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
1,869
1,106
Suicide Attacks Near Prophet Muhammad's Mosque in Medina and Other Mosques



Two time synchronized suicide attacks have been reported near the el-Omran Shia mosque in Qatif City and near the Prophet Muhammad's mosque in Medina. Residents report hearing multiple explosions at each location. Tasnim News Agency confirmed six innocent people died in the blasts including two security officers and four pilgrims.



Separately, Saudi's Arabiya TV confirmed at least two terrorists died in suicide blasts. The mosque is Islam's second holiest site and one of the largest mosques in the world.

Initial reports indicate that mass casualty events were averted due to the brave actions of security officials who would not allow the terrorists to enter the religious facilities forcing the attackers to instead blow themselves up outside the mosques.

The wave of attacks upon Muslim populations towards the end of Ramadan is consistent with the Daesh terror network whose leader Abu Bakr al-Baghdadi has called on his followers to engage in a wave of terror to mark the Islamic holy month.

Deadly Twin Terror Attacks Strike Prophet's Mosque in Medina, Qatif City

Kweli nimeshangaa Sana watu magaidi sasa wameshambulia kila eneo.

==========

Al arabia (luninga ya Waarabu) wameripoti kwamba Msikiti huko Medina ambao Mtume Muhamad amezikwa unawaka moto baada ya kulipuliwa na Bomu linalosadikiwa kuwa ni la kigaidi, ...

3,w=559,c=0.bild.jpg


2,w=650,c=0.bild.jpg



One World Government imekaribia!
 
Kuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.

Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
 
Kuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.

Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo

Walikuwa wanachekelea tumboni wanaposikia makafir wameuwawa na magaidi. Wanasahau jini ukilifuga likimaliza majirani kuna siku litageukia wanao na mwisho wa siku linakumalizia wewe mwenyewe. Kama wamepiga jirani na kaburi la Mtume wanayejidai kumfuata tena kipindi muhimu kama hiki cha mfungo hao hawawezi kuwa watu wa kawaida ... Ni mashetani kamili katika umbo la binadamu ...
 
Thats why huwa nasema magaidi huwa si waislam, inawezekana wakahukumiwa ni waislam kwa rangi, majina n.k lakin nyoyoni mwao kabisa hawana uislam hata chembe, siwatofautishi na hussein lakin mzinifu, choki n.k.. Uislam ni zaid ya jina na takataka nyingne, sijawahi kufurahia hawa wanaojiita watetez wa uislam kuwaua binadamu wengine.. Uislam ni kitu kimoja na Ugaidi kitu kingine.
 
Al arabia (luninga ya Waarabu) wameripoti kwamba Msikiti huko Medina ambao Mtume Muhamad amezikwa unawaka moto baada ya kulipuliwa na Bomu linalosadikiwa kuwa ni la kigaidi, ...

3,w=559,c=0.bild.jpg


2,w=650,c=0.bild.jpg



One World Government imekaribia!
 
US Consulate was the Target. Apart from Madena Jiji la kibiashara la Qatef nayo inawaka Moto muda huu!
 
Mtiririko wa matukio haya ya kinyama yanayofanyika kwa jina la Muumba ambaye tunaambiwa kuwa ni mwingi wa huruma kwenye vitabu tulivyoletewa....vinanifanya nianze kufikiria upya kuhusu hizi imani tunazokaririshwa.........

Bora nirudi kuabudu kwenye mizimu ya mababu...ambapo mambo yetu yalikuwa poa.....
 
Magaidi wa kwanza walikuwa ni KHAWARIJ wao waliredefine maana ya Jihad sio tu vita dhidi ya wasioamini imani yao bali hata kama unaimani ya kiislam lkn unaenda kinyume na wao wanavyoona wewe walikuita ni kafir. Na hawa inasemekana ndio chanzo cha watu kujitoa Muhanga enzi hizo karne ya sita/saba. Inawezekana misimamo hiyo bado ipo duniani hadi leo. Hakuna jipya chini ya jua. TAtizo ni pale tunapokuwa washabiki wa kidini bila kutafuta mizizi ya matatizo yanayokukabili. Na sehemu walipopotelea ni hapohapo leo wapo isis wanapoiua ndugu zao katika imani
 
Madina ni mji pia upande wa msikiti hakuna kitu kama hicho watu wanaendelea na ibada!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom