Magaidi waishambulia Medina

Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.
Utashangaa wenyewe wanasingizia propaganda za wamarekani au Israel.

Chickens coming home to roost never did make me sad-Malcom X.
 
Hapa ndio nayaona yale maneno ya Putin yanamaana aliposema hao Isis inatakiwa wapelekwe kwa mungu kwa lazima
 
This is too much now! Haya dunia na isimame kidete sasa dhidi ya wauwaji hawa wasiokuwa na utu wala huruma. Nitashangaa mtu yeyote awe mwislamu au yeyote yule iwe humu JF au nje atakaye simama upande wa hawa mashetani. Dini inatekwa hii msipokuwa makini. Cc: FaizaFoxy Ritz abui7 Pohamba kahtaan THE BIG SHOW et. al.
Hawa watu mbali na kutokuwa na huruma, utu lakini pia tatizo kubwa hawana taifa na hapo ndio ugumu wa kupambana nao unapokuja!
 
Ni ngumu sana kuutenganisha Uislamu na Ugaidi utatetea sana lakini hutaweza na mwisho wake utakula matapishi yako mwenyewe.
Huujui uwislam ndomana unasema hivyo na Namshkuru sana mungu kuzaliwa muislam nasijutii na wala sikulazimishi uwamini ninachokiamini wewe unadini yako na mimi nina dini yangu huamini ninachokiabudu na mimi sitaabudu unachokiabudu coz anayeongozwa na m/mungu binadamu huwezi kumpoteza na aliyepotezwa na m/mungu binadamu huwezi kumuongoza uwislam ni dini ya amani na upendo waislam sio magaidi bali wapo wanao uchafua uwislam kwa mathumuni yao miaka ya themanini na tisini mbona ugaidi haukuwepo jiulize ugaidi huu umeanzishwa nataifa gani usiongee vitu usivyo vijua uwislam sio ugaid
 
Thibitisha na mimi nitatoa vidhibitisho acha kutetea vitu ambavyo huvijui,Kuzaliwa ukiwa mwislamu hakumaanishi wewe unaujua Uislamu nimekwambia lete vidhibitisho
 
Huujui uwislam ndomana unasema hivyo na Namshkuru sana mungu kuzaliwa muislam nasijutii na wala sikulazimishi uwamini ninachokiamini wewe unadini yako na mimi nina dini yangu huamini ninachokiabudu na mimi sitaabudu unachokiabudu coz anayeongozwa na m/mungu binadamu huwezi kumpoteza na aliyepotezwa na m/mungu binadamu huwezi kumuongoza uwislam ni dini ya amani na upendo waislam sio magaidi bali wapo wanao uchafua uwislam kwa mathumuni yao miaka ya themanini na tisini mbona ugaidi haukuwepo jiulize ugaidi huu umeanzishwa nataifa gani usiongee vitu usivyo vijua uwislam sio ugaid
Actions speak more than words!
 
Sasa Hao magaidi sio waislam mpaka walipue na mskiti huo wa madina? Hivi hii dunia inaekekea wapi jamani
unajichanganya wakati unapohusisha dini na ugaidi ndo maana unabaki kushangaa
 
Nawashauri waislamu wote wabadilishe mienendo yao kwa jamii ili kufuta dhana hii ya Ugaidi miongoni mwao,ili watu hata kama watawatuhumu kwa Ugaidi matendo yao yaonekane yako kinyume na Ugaidi wanaotuhumiwa nao,na hii inawezekana kabisa kwa kupinga vitendo vinavyofanywa na watu kati yao kwa nguvu sana ikiwa pamoja na kuwafichua wanaoharibu jina la dini yenu na ikiwezekana muwakamate ninyi wenyewe na kuwakabidhi kwenye vyombo vya dola ili kuiokoa dini yenu isije onekana vibaya mbele ya jamii inayowazunguka.
 
Hawa watakuwa magaid wa makafiri kwa mana waislamu ambao walizoeleka kuitwa ivo kwa kila tukio. Nyoka hawezi kujingata mkia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom