Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Hawa TFDA kama kweli wanasaidia jamii, kwanini wakati mafuta yameanza tu, walishindwa kuyasimamisha kwanza hili wafanye uchunguzi wao? Hivi inaingia akilini kitu ambacho kimeshauzwa sana na watumiaji wamepata nafuu kutokana na matatizo waliyo kuwanayo leo ndounawaeleza matokeo ya utafiti?

Embu wataalamu wa TFDA wakaechini nakujipanga upya kwani Tanzania kuna madawa mengi tunatumia hila hakuna tafiti yakuonyesha yana madhara au la. Mbona hawasemi madaktari wapunguze kutuandikia madawa kila tuendapo hospitali kwani yawezekana nikipumzika na kunywa maji yakutosha naweza kupona.

Vitu vingi vya viwandani vinamadhara makubwa, leo hii hakuna sera ya kuamasisha watz kutumia vitu asili vinavyotoka shambani. Hivi utaruhusu vipi majani ya chai kuingia wakati tuna chai yetu?, Kahawa pia? yani Tanzania kila siku ni burudani tu.
 
Hiyo Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) na hao TBS naona hawafanyi kazi yao ipasavyo....
Muda wote tangu hayo mafuta yameanza kutumiwa na wananchi leo hii ndio wanaibuka na kusema ni hatari kwa Afya?
Ni Watanzania wangapi watakuwa wameshadhurika na hayo mafuta mpaka taarifa hii inapotolewa?
Hii nchi kila kitu hovyo hovyo tuu..!
Wanasheria mliopo hapa JF tuambiaeni kisheria hawa TFDA NA TBS wanaweza kushtakiwa???Kama jibu ni NDIO taratibu zikoje????
 
Usiwe kama mwehu...

Usiwe mkali Nnyambala, kwani ww ndiyo mwandishi? Si mwandishi ni yule wa gazeti la HabariLeo? Kweli habari hii haijajitosheleza kabisa!!

Kwa mfano, tindikali ya mafuta ndiyo nini?? Tuiite "acid of oil" au "acidic oil"?

Mimi sidhani kama taarifa hii ina mashiko!! Unless kuna more info!!
 
Tatizo hawa aminiki huenda wamepewwa fungu fulani ili wafungie mafuta hayo
Khaa!! Kwa hili ninaanza kuamini kidogo. Mbona wamepewa rushwa na viwanda vya kutengenenza dawa za kuulia mbu za spray ili wazuie uingizwaji wa dawa ya ngao ambayo ilikuwa muokozi wa wanyonge. Na ushahidi ninao :whistle:
 
....haya mafuta yameharibu biashara za watu sana.........ndio maana wameyapiga kashfa....wagogo wanaoishi karibu na miti hiyo hula ubuyu na kutafuna mbegu zake toka wakiwa wadogo mpaka kuzeeka kwao lakini hawaja wahi kupata hizo kansa....au yana matatizo tu pindi unapo yakamua tu......

mimi niko mbioni kuanza kukamua mafuta ya mbegu za matikitiki kwa ajiri ya kuongeza ufanisi katika ndoa....myapime mapema kabla sijafungua kiwanda changu.....
 
NGETWA,NGOKA3 zimeishia wapi?jamaa katajirika amejenga hotel mabibo hostel LUNCH TIME hotel ,na anatembelea Range Rover Sports.
 
Mkuu weka Habari yako sawa sawa..., wamesema kujiadhari na kunywa mafuta ya ubuyu (taking orally) ingawa yakitumika kwa ajili ya cosmetic hayana madhara.., (kumbuka kila kitu kina madhara kulingana na utumiaji mbovu)

Tanzania: TFDA Warns users of Baobab Oil

THE Tanzania Food and Drug Authority (TFDA) yesterday warned the public against drinking baobab oil, saying it contains substances that have carcinogenic effects.

Ms Simwanza said after testing the baobab oil it was found containing harmful chemicals which should not be orally taken by human beings, until the chemical is extracted.

She said the technology to extract the harmful chemicals is not available in the country at the moment and until then the public should stop drinking the oil," she explained.

TDFA, however, said people may continue using baobab oil as a cosmetic and not medication purposes.
Speaking at the 37th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) TFDA Spokesperson Ms Gaudensia Simwanza said the public should refrain from drinking baobab oil.
"We are witnessing a big influx of vendors selling baobab oil, parading it as a 'cure-all' concoction. We want the public to know that they are drinking it at their own peril...it contains some fatty acids that have carcinogenic effects," she said.

The Deputy Minister for Health and Social Welfare, Dr Seif Rashid, said the government would step up public education to sensitise the people against use of drugs without prescription by competent medics.

Hizo ni baadhi ya comments ambazo nimezi-exctract kutoka kwenye habari yenyewe, kwahio utaona kwamba kutokana na kutokuwa na vifaa vya kuweza ku-extract na kuondoa hizo sumu mafuta watu wanaokunywa wanakunywa na hio sumu (kumbuka hata maharage yana sumu na hili kuondoa hio sumu yaweze kuliwa inabidi kuyapika)
 
Watanzania bwana sa mnabisha?je msingeambiwa kabisa?mtawashtakije kila kitu ni utafiti wasingeweza tu kuamka asubuhi na kutoa tangazo.

By the way kwenye ule uzi wa mrembo niliandikaga"naogopa kusema nisionekane naharibu biashara ya watu" kwa kuwa waaalamu washasema na me leo naongea yanasababisha kansa ya matiti na yanapunguza nguvu za kiume na kike kwa anayekunywa japo yanakausha vidonda kwa haraka sana.maswali yote Tfda
 
ahahaaaa mi huwa najipaka sana usiku...ila yanatakatisha sana sio uongo ngoja nirudi kwenye nazi

Tangazo lao limefafanua ...!!

"TDFA, however, said people may continue using baobab oil as a cosmetic and not medication purposes."

So pleaseeee...jitakatishe!!
 
km ni hivyo basi tunakufa kwa mengi. tunaishukuru serikali kwa kutujulisha hatari iliyopo kutumia haya mafuta
 
Huu ufafanuzi ni muhimu sana

Tanzania: TFDA Warns users of Baobab Oil

THE Tanzania Food and Drug Authority (TFDA) yesterday warned the public against drinking baobab oil, saying it contains substances that have carcinogenic effects.

Ms Simwanza said after testing the baobab oil it was found containing harmful chemicals which should not be orally taken by human beings, until the chemical is extracted.

She said the technology to extract the harmful chemicals is not available in the country at the moment and until then the public should stop drinking the oil," she explained.

TDFA, however, said people may continue using baobab oil as a cosmetic and not medication purposes.
Speaking at the 37th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) TFDA Spokesperson Ms Gaudensia Simwanza said the public should refrain from drinking baobab oil.
"We are witnessing a big influx of vendors selling baobab oil, parading it as a 'cure-all' concoction. We want the public to know that they are drinking it at their own peril...it contains some fatty acids that have carcinogenic effects," she said.

The Deputy Minister for Health and Social Welfare, Dr Seif Rashid, said the government would step up public education to sensitise the people against use of drugs without prescription by competent medics.
 
Very interesting. Sasa TFDA wapo saba saba na mabanda mengi yanauza mafuta haya ya ubuyu, unga wake na hata sabuni!. Does it make sense? What is the role of the Authority if they are 100% accurate on this report?

Nadhani tuna tatizo kubwa sana...
 
Usiwe mkali Nnyambala, kwani ww ndiyo mwandishi? Si mwandishi ni yule wa gazeti la HabariLeo? Kweli habari hii haijajitosheleza kabisa!!

Kwa mfano, tindikali ya mafuta ndiyo nini?? Tuiite "acid of oil" au "acidic oil"?

Mimi sidhani kama taarifa hii ina mashiko!! Unless kuna more info!!

Ndicho nilichokiona Great thinker akajiona yeye mwehu.
 
Back
Top Bottom