Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Kitu UP, Roger M.star, Tom Duncan, Nelkon,...morden ya N.Kumar.........Huyu hajakesha akioweka miguu kwenye maji ili kuielewa university physics.
Acha uoga wewe. Mimi Nina shahada ya chuo kikuu .Lakini pia nina mafunzo na uzoefu wa udereva kutoka VETA ,Leseni yangu ni A, B ,C, C1 ,C2,C3, D, ENdo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!
Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
Kusema kweli Elimu yako haijakuokoa kabisa!..Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Ila ndio haohao wanawagongea mirupo yenu na vitoto vyenu mtaani.Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Sasa huko ataweza kweli kutunga uzi kwenye sindano?Labda akajaribu ushonaji.
Akasomee Ujinga...Hahaha... sasa utasoma nini
Je unajua mshahara wa madereva kwenye international NGO's?Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Hahaha.Balaa la UP sio poa kabisa, pia kuna rojar mankasta (spelling error) na scholarship physics ni balaaaHuyu hajakesha akioweka miguu kwenye maji ili kuielewa university physics.
Unamaanisha ni ngumu kuliko hii ya kutambaa kwenye maji juu risasi?? Ukipaliwa na maji mdomoni au puani ukanyanyua kichwa tuu imekula kwako?Ndo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!
Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
Anazungumzia hilo hapo!