Mafunzo ya Udereva wa umahiri ya NIT ni magumu kuliko mafunzo ya kijeshi!

Yaani hujui kuwa mwanaume wa kweli anatumia three pedals? Means anaendesha manual transmission. Hizi automatic transmission ni za kike Na walemavu.
 
Ndo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!

Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
Acha uoga wewe. Mimi Nina shahada ya chuo kikuu .Lakini pia nina mafunzo na uzoefu wa udereva kutoka VETA ,Leseni yangu ni A, B ,C, C1 ,C2,C3, D, E

Udereva ni mafunzo ya kawaida sana( basic skills)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Kusema kweli Elimu yako haijakuokoa kabisa!..
 
Umeenda NIT kipindi kizuri vp umekuta FIAT 682 na ile BUS TATA yenye stopper ya mguu was kushoto Kama 2636 Benz ton 25? Siku hizi mnachukua vyeti tu mtaani mnatusumbua na ajali za uzembe nyambafu!
 
Pale unapaswa uende tayari ukiwa dereva mzee
Na pia uwe ni dereva haswa upande wa manual,kama unataka ufaulu pale omba hata 'deiwaka' kwenye daladala kwa wikiend uwe unaendesha kisha ndo uende pale,
Ila mi kwa upande wangu hizi gari za mchina za howo zimenishinda kwa kweli gari unaingiza gia mpaka mkono unauma
 
Ndo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!

Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
Unamaanisha ni ngumu kuliko hii ya kutambaa kwenye maji juu risasi?? Ukipaliwa na maji mdomoni au puani ukanyanyua kichwa tuu imekula kwako?
 

Attachments

  • GBWA-20181030162619.mp4
    3.5 MB · Views: 40
hahaha hapo sasa ni kwamba hakuna vyombo vyenye ubora. kuwa bora ktk ku drive sio mpaka eti upate gari bovu bovu mana umesema hapo gari gear mpaka ubonde na nyundo ... ku drive ni fani nyingine na ufundi makenika ni fani nyingine ....
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom