Mafunzo ya Udereva wa umahiri ya NIT ni magumu kuliko mafunzo ya kijeshi!

Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,



sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Si kweli.

Dereva wa serikali lazima awe na elimu ya kidato cha nne.

Mbunge anatakiwa awe na elimu ya msingi au ajue kusoma na kuandika.

Tanzania ya viwanda.
 
Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,



sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Wenzetu wanapasua vichwa kugundua dawa za COVID- 19 sisi tunapambana udereva wa magari ya manual. Mkiitwa vilaza mnang'aka
 
umenena kweli mkuu, tatizo akili yake ipo ndani ya box.kuna madereva sekta binafsi wanalipwa mishahara minono na marupurupu mengine.
Makampuni Kama bhakresa primefuel bhanji Megj wanataka madereva waliosoma subscania pale kibaha hiyo nit labda ukaendeshe gari za halmashauri
 
Pale unapaswa uende tayari ukiwa dereva mzee
Na pia uwe ni dereva haswa upande wa manual,kama unataka ufaulu pale omba hata 'deiwaka' kwenye daladala kwa wikiend uwe unaendesha kisha ndo uende pale,
Ila mi kwa upande wangu hizi gari za mchina za howo zimenishinda kwa kweli gari unaingiza gia mpaka mkono unauma
HOWO gear mpaka uipige kwenzi ndio iingie, halafu kwenye mlima inachemka Kama uko kwenye jiko la kuchomea nyama ndio unasukuma mchuma kwenda lubumbashi
 
Back
Top Bottom