Nahitaji kibarua cha kufanya kwa siku

border mc

Member
Sep 19, 2023
41
43
Naombeni msaada kwa watu ambao wako Bagamoyo ama karibu na Bagamoyo yeyote ambaye atakuwa na kibarua cha kufanya kwa siku anisaidie niweze kupata ili nipate pesa niweze kujikimu binafsi

Iwe ni kuchimba mitaro, kujenga(saidia fundi), kulima, kufyeka, kujaza kifusi, kuchimba mashimo, kiufupi zile kazi zote za vibarua mimi naweza kufanya nikipata

Mawasiliano 0682019085

Napatikana Bagamoyo pia kama mtu uko dar na kuna hizo kazi pia naweza kufika

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom