Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Labda tu ningependa kutowa mchangu wangu wa mwisho kwenye thread hii kama ifuatavyo;
Mimi Matola si mwanachama wa Chadema na bado wala sijafikiria kuwa mwanachama, but/lakini Chadema is my life, kuna kitu kimoja ambacho nimekuja kukigunduwa sasa hivi kumbe ni heri ya Vijana wa UVCCM kuliko hili dubwasha linaloitwa Bavicha.

CHADEMA = Chaga Development Manifesto.
My take: kama unakubalian na hilo swali hapo juu je unasubili nini Chadema? je hamjui kwamba kuna chama cha Wakulima na Wafanyakazi?

Edwin Mtei ni mchaga na ndio muhasisi wa Chadema je ni watu gani wa kwanza waliopaswa kumpa mshikamano wa nguvu kufanikisha malengo yake ya kuianzisha Chadema? je mnafahamu vizuri chama kisichokuwa na lolote hakina ofisi wala ruzuku kukisimamia mpaka kilipofikia leo mtu anatumia pesa zake ngapi za mfukoni kwa mapenzi ya kile alichokiasisi!? inakuwaje leo mmevimbiwa mnaanza kuja kujamba jamba hapa na kuwavunjia watu heshima?

Hongera kwa James Mbatia:
Mwanzo sikumuelewa James Mbatia alivyomshughurikia kikamilifu huyu swahiba wa Zitto Kafulira, nilidhani Mbatia ni Dikteta kumbe Mbatia anaona mbali zaidi yangu na anajuwa fika kansa ikiwa mguuni dawa ni kukata mguu na ndivyo ilivyotokea.

Lakini cha kushangaza Zitto Kabwe mwanachama wa Chadema akaguswa na kukosoa maamuzi ya chama kingine kisichomuhusu kisa mapinduzi halamu aliyoyapanga yeye na Kafurila kumpinduwa Mbatia yalishindwa.

Sasa ningependa kutowa wito simple & clear kama Chadema ni chama cha wachaga walk out waacheni wachaga na chama chao kwa amani na kamwe nguvu ya Chadema wala si wanachama wake bali ni Umma tumeamuwa kuwa nyuma yao. Yatosha sasa wengine mgeukie kupromote Bongo fleva that is good ideal.

Bavicha ni vinyago vya mbowe vp nasikia katibu wa bavicha taifa ni mtoto wa mbowe.naona mumemuweza kumpangishia mwenyekiti wa bavicha taifa bango la nyumba pale mabibo na mshahara juu watumieni haohao waganga njaa.
 
Ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi hapo.vp jmushi naona tunamkatisha ulaji boss wetu na mwakani ndo mwisho wenu maana tutafanya operation ondoa wachaga ndani ya chadema maana tumechoka na ubinafsi wetu ndani ya chadema.
Hapa ndipo unapothibitisha low capacity of thinking. Chagga Development Manifesto wewe wakuja inakuhusu nini? kwa nini usianzishe chama chako kama Mtikila?

Kama wewe ni Mwanachadema kweli unaweza kunitajia orodha ya Baraza la wadhamini wa Chadema?
 
Bavicha ni vinyago vya mbowe vp nasikia katibu wa bavicha taifa ni mtoto wa mbowe.naona mumemuweza kumpangishia mwenyekiti wa bavicha taifa bango la nyumba pale mabibo na mshahara juu watumieni haohao waganga njaa.
5+copy.jpg
4+copy.jpg
 
labda tukuulize zile pesa za m4c ambazo watanzania maskini wamechangia lema na mbowe wamezipeleka wapi?
Mkuu kama huna cha kuchangia pumzika, uzi mzima umejaza kwa kumsemea Zitto halafu IQ yako ni nyuzi 000.

Tujadili mada husika, usikae kama kibaraka mkuu nchi inaliwa we umekaa kuua Nnzi wasimlambe mwinyi?
 
Mkuu kama huna cha kuchangia pumzika, uzi mzima umejaza kwa kumsemea Zitto halafu IQ yako ni nyuzi 000.

Tujadili mada husika, usikae kama kibaraka mkuu nchi inaliwa we umekaa kuua Nnzi wasimlambe mwinyi?

Kumjadili Mbowe ni sehemu ya mada toeni maelezo pesa zimetumika vipi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hivi unamjua mwandishi wa Mwanahalisi ww?Au unadhani KUBENEA(TIGER PICTURE)
Yaani DR.SLAA ajiandike kuwa anadaiwa na chadema?Yaani Dr.salaa ajiandike kuwa anatumia ruzuku za chama.
NAMKUBALI MBOWE ANAYEMTUMIA DR.SLAA,LAKINI MWAKA 2015 UTASIKIA PAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA..atabaKi Josephine na Slaa wamejishika vichwa

Hakuna umeme toka jana jioni ulirudi usiku wa manane lakini asubui hii umekatika

 
Mkuu kama huna cha kuchangia pumzika, uzi mzima umejaza kwa kumsemea Zitto halafu IQ yako ni nyuzi 000.

Tujadili mada husika, usikae kama kibaraka mkuu nchi inaliwa we umekaa kuua Nnzi wasimlambe mwinyi?

Ruzuku ya chadema imesitishwa mikoani sababu ni nini kama sio ufisadi?
 
Hapa ndipo unapothibitisha low capacity of thinking. Chagga Development Manifesto wewe wakuja inakuhusu nini? kwa nini usianzishe chama chako kama Mtikila?

Kama wewe ni Mwanachadema kweli unaweza kunitajia orodha ya Baraza la wadhamini wa Chadema?

Kwani kazi ya wadhamini ni nini?
Hata pale makao makuu kuna wakurugenzi kutoka mikoa mingine lakini hoja wanafanya nini?kwa mfano sector za fedha zote ni wachaga tu kama fedha na utawala Anthony Komu,Rasilimali Grace kiwelu,halmashauri na bunge john mrema sasa kuna nini tena hapo!
 
Zaha na mwavuli mnasikitisha sana.Yani mnatia huruma kishenzi.Mimi wala sina kadi ya chadema.Kama mmeshikwa pabaya humo kwenye chama chenu,basi mnakuja kota matusi humu,ndipo mnasikitisha kweli kweli.Hakuna kitakachowasaidia kwenye harakati hizi za matusi,mtajikuta mnakosa vyote,yani madaraka mnayoyalilia kwa nguvu zote pamoja kufa kisiasa moja kwa moja.Nyie mnadhani hamfahamiki na viongozi wenzenu?Wanafahamu fika,msidhani hamjulikani kwasababu ya kivuli cha jina feki humu!Na kwa taarifa yenu,hamumsaidii Zitto wala hammzisaidii juhudi zenu zozote zile,badala yake mnaonekana kama mamluki ambao ni desparate tu.Poor you.Miye nawaachia na matusi yenu maana ni wazi watanzania walio wengi wana imani na chadema.

Kama mmmekichukia chama kiasi hiki,ondokeni,mnasubiri nini?Si cha wachagga?fungueni na nyie vyama vya makabila yenu tuone nani atajiunga navyo.

Wenzenu wanajenga chama nyie mnasubiri kipate umaarufu ndo mdandie kwa ku blackmail watu,eti mara dini,mara kabila,eti ili mupewe madaraka.CDM wakifanya huo ujinga ndo watakuwa wamekosea.Nyie ni sumu mbaya dhidi ya ukombozi.

Kama hamkubaliani na chama,ondokeni.Anzisheni thread ya kumwambia Zitto aondoke kwasababu ni chama cha wachagga na wakristo,shida ikwapi?Mnajidhalilisha utu wenu na kuonyesha mlivyo na fikra finyu.Halafu eti ndo mmpewe uongozi,na nani?mnachekesha kweli.Hiki chama hata kingekuwa cha wangoni,madaraka watu kama nyie wasingewapa.

Wewe unatia aibu sana!very hopeless!unacheza ngoma usiyoijua,toka lini mzaramo akacheza ngoma yakisambaa?j mushi mwambie meku amwambie molemo a.k.a jack pemba kuwa aache unafiki wake hata kama chama kilimuolea mke ipo siku utafika mwisho.
na siasa zenu za majitaka dhidi ya zitto kamwe hazitofanikiwa,dhambi ya ukanda na ukabila ni tosha kabisa kwenu kuwaweka benchi uchaguzi ujao.
Umma wa watanzania umeshaelewa janja yenu.
Msipobadilika majibu mtayapata very soon.
 
Si vibaya kuweka haya mabandiko kwenye digital pages lakini ningemshauri mwanzilishi wa uzi huu kupunguza maneno mengi na kuongeza vitendo kwa wingi. Wenzake wanapokuwa vijijini kwenye M4C ambayo lengo lake ni kuendeleza na kuleta ukombozi kwa hao mafukara milioni 30 aliowataja hapa, yeye mwenzetu ni kukwaa mapipa.

Wengine (mimi mojawapo) tunahisi au kuamini kuwa katika hao mabilionea 30, mwanzilishi wa uzi huu pia naye kajificha humo. Kwa nini inapofika wakati wa kuhamasisha kwa vitendo wananchi walete mageuzi (M4C), Mh. Kabwe ndo wakati wa kukwaa mapipa? Ni kitambo tu utakuja ujibu hili kwa hao mafukara milioni 30.

Kwa msemo wa Mwanakijiji "Tumeshazugwa vya kutosha" tunataka vitendo sasa.

Your talking about m4c?movement for chaggaz?vipi zile hela za m4c alizokimbia nazo lema(kibororoni)ooh my God !kwani zitto ni mchagga mpaka ashiriki?haujajiuliza tu kwanini makamu mwenyekiti bara mh arfi haonekani m4c?mwenyeji wa nyanda za juu kusini mkoa wa rukwa.
kusoma hujui hata picha tu hujaiona bado?
Kwanini nafasi ya kiutendaji na uenyekiti wamejipa wakaskazini pekee?hujaona tu?
na mbona hamumzungumziagi arfi?kwamba ni mamluki kwakuwa hashiriki m4c?zitto na arfi nani ana nafasi ya juu zaidi?hata picha huoni tu?
Hahahaa!au kwakuwa arfi hajaonyesha interest yoyote yakiuongozi?hajagusa maslahi yenu yakikanda?
Zitto kweli amewaweza.
Poleni sana mwarobaini mchungu lakini unaponyesha.
 
Ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi hapo.vp jmushi naona tunamkatisha ulaji boss wetu na mwakani ndo mwisho wenu maana tutafanya operation ondoa wachaga ndani ya chadema maana tumechoka na ubinafsi wetu ndani ya chadema.

Nimeipenda hii!oparation pumzisha wachagga!mtu kama molemo atakimbia mji huu maana jeuri yake yakutamba mjini ni sababu ya chama.
 

Inaonyesha jinsi gani ulivyoikubali lekadutigite!mpaka picha unazo!wacha tufurahi,tusherekee maana 2015 rais wa nchi hii atatoka kigoma.uliziona kura zile zilivyokuwa zimeshonana?hadi mchagga mwenzenu akachanganyikiwa na kujikuta akisahau kiapo cha kuulinda uchagga ndani ya cdm kwakumtangaza zitto kama ndie rais ajae!kwamba sasa rais ajae anatoka kigoma!
 
Ruzuku ya chadema imesitishwa mikoani sababu ni nini kama sio ufisadi?

Baba babu slaa kalipia deni la nyumba ya mshumbusi,zingine katimka nazo lema!zingine molemo na benson kigaila(msukule wa wachaga)huwa wanaandaa bajeti yao yakujifanya wanazunguka mikoani kusuluhisha migogoro kumbe wanaenda kuwashughulikia watu wenye msimamo hasi na utendaji kazi wa makao makuu,zingine zinamlipa heche(msukule pia)kinyume cha katiba,zingine kakimbia nazo lema.hahahaa!chadema saccos!
Bado tu mbadai zitto aje akae pale ofisini makao makuu wakati pananuka ufisadi na uzandiki.
na ndio maana mkiambiwa mpeleke hesabu zenu za matumizi ya ruzuku mnahaha.
Hopeless!
Kuna haja gani yakupinga matumizi mabaya ya serikali wakati ruzuku tu ya ml 230 inawashinda ,kila mtu anataka aipige!
Nchi hamjapewa bado ruzuku tu inawazuzua mkimilikishwa migodi,gesi,mbuga si ndo itakuwa balaa zaidi hata ya ccm.
Hopeless.
 
wingi wa watu namna hii,na support yake kwa Zitto si siri anahusika na kaweza juhudi kubwa sana.Hili ni sikitiko kwa taifa,sikitiko kwa mwanamapinduzi kuamua chukua njia finyu.Njia ya loosers.Kwani ZItto kwa umri wake hawezi subiri hata kipindi kimoja hadi CDM iingie ktk power wakati anajenga reputations na umri ukienda.Sijui anataka aingie ktk guness book of reords kuwa kaingia akiwa mdogo kuliko?

Alexander the greata lifanya kiwa na 20, na pamekuwa na wapinduaji nchi za africa kibao wenye umri wa miaka 20,nyingine kabla keshafanya.

Ima sure hata Mh. Zitto mwenyewe anajua roho itakavyokuwa haijawahi furahishwa na vitu vingi alivyowahi achieve katika maisha yake. Watu wanaichukia hii attitude na si yeye.

Ni wazi kuwa kila mtu alijua next ni wafuasi wake kuingia kwa fujo na kuibadili thread kuwa ya propaganda kwa fujo.

2009 policy@work!
Safari hii lazima ile kwenu!ni zamu ya wachaga kuchukua likizo isiyo na malipo.
 
Zitto kwa ushauri wangu usipoteze muda sana kujibu wachangiaji wanaoleta topic tofauti. Vilevile nakusifu kwani kuwa mwanasiasa ni pamoja na kukubali kuwa Punch Bag la kila mtu kwa namna moja au nyingine. Hii Topic ni muhimu sana na ningependa uchukue baadhi ya mawazo yetu na kuyafanyia kazi. Kitu kimoja kuhusu mtandao ni kwamba inawezekana unajaribu kumjibu kijana wa miaka 20 ambae yuko kwenye chumba chake cha chuo na anatafuta mtu wa kumrushia madongo hivyo vilevile usichukulie Personal kitu chochote hapa.

Great thinker!
 
Niko siku nyingi na hata kuchangia M4C nilichangia bila kujua kwamba nachangia ujenzi wa nyumba ya Lema pale mbagala.

Pole ,mwenzio nilishashtuka kitamboooo!kwamba huu ni mradi wa wachagga.
 
2009 policy@work!
Safari hii lazima ile kwenu!ni zamu ya wachaga kuchukua likizo isiyo na malipo.

Ni wapumbavu tuu ndio waingiapo sehemu ahadi zao za kwanza ni wengine waondoke na si wao wafikie malengo ya kuleta mafanikio.Kwanza nyie ndio wakabila na wadeni kupindukia, sijawahi sikia mchaga akisema anaenda watoa kabila ingine.Yeye huweka nadhiri kuwa naenda tafuta maisha.Luckily wanamake it.Taratibu napata fahamu kwanini wanafanikiwa miongoni mwa hostile group of people.
 
wasilimie meku.slaa hawezi kuwa rais hata kama nchi itagawika vipandevipande unacheza na katerero wewe!

Kama mwenyezi Mungu kapanga hamna ujanja.Kwani huu upuuzi wa kupambana na mtu haukuanza kwenu ,ulianza kwa wazazi wenu.Kwani wameawaachia nini katk maisha.Pengine ni uchawi na huu ujinga.
 
Back
Top Bottom