Pamoja na kuwa umekosa adabu sana labda nikuambie tuu kama ulidhani unataka msimamisha Zitto kwa appearance utakuwa umekosea sana.Nadhani ndi maeneo ambayo yatamfanya awe obsessed na watu wengi sana.Kwa ujumla hana hiyo quality.
Pa ujue tayari mmeshavuka mipaka mingi sana ya kibaguzi, mna ukabila,ukanda, udini na sasa mmeanza amia ktk maumbile ya watu.Sijui angekuwa hana miguu ingeuweje?
Bado kwa jinsi mmeamua ingia jumla katika hizi kampeni chafu, na mhusika nae kakiri maendeo kadhaa kwa mambo yahusuyo haya myasemayo,ni wazi kuna baraka zake.Labda tuu niwambie Zitto kwa background yake watu wenye akili walishaondoa matumaini ya kupata mtu hapo tena.Kijana yupo obsessed sana na vitu vingi kiu yake haiyomalizwa na chochote.Finally ataishia kuwa extremist.Na kama mpo this desperate hadi kuamia katika sura.Niseme tuu kwa moyo mweupe Zitto hana sura nzuri n akitamuuma for life, hata miwli wa kiume,na hiyo sifa hatokaa aipate kwa mwananke yeyote ktk ya hao anaokimbizana nao ili ajipe ujasiri kuwa ni mwanamume,na takayemwambia hivyo yeye mwenyewe atajua kuwa vi kuchorwa tuu.Ataishia wachukia wote waliomzimi kwa hilo.
BIllicanas ni Night club nyie wapuuzi, mbona msiwaulize wenye guest house na madangguro ya fasta fasta,mbona msiwaulize akina Komba, akina mudhihiri, asha baraka wa kigoma kama nyinyi, na wengine wenye band wanacheza uchi mitumbo ipo nje?mtakuw ana bouble standards hadi lini?Kweli mwenye laana ni laana tuu.Kama Zitto anabariki huu ujinga mwisho wa siku itabidi ajitume katika jiwe kwa disperations ila si ku derail njia watanzania walioichukua.