jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
"Chagga phobia",nampenda mwalimu lakini kwa hili kamwe nitamlaumu.We kule mbeya ni chaggaz.Inaelekea unawaogopa sana wachagga,kiasi kwamba mnaamini wao ndio watengeneza pesa,kwa ubongo mdogo mlionao mtatawaliwa sana na wachaga.Kwani mmeanza leo mbwembwe,si kila siku mnawaita washamba huku mkiwauzia kila kitu chenu kwa bei ya ukwaju.Katiba ya CDM ndio inaamua kushiriki kwake kupitia CDM.
Issue ni kwamba mpo too obsessed na wachaga,hata katk CCM yenyewe mnawapiga vita kuonyesha jinsi mlivyo na wakabila na wadini.
Nimewaambia wanitajie viongozi wa chadema ili kuonyesha huo uchagga na udini hawawezi kufanya hivyo maana wataumbuka,eti wanakuja na ushahidi wa kuvuta na kamba kuwa "mama yake Slaa ni mchagga",kwahiyo ndiyo maana chadema ni chama cha kichagga,same thing kuhusu mwenyekiti wao.
Wao wanachotaka,eti ni kwamba wana mgombea wao mmoja ambaye ndo ataondoa uchagga na udini yeye kama individual,ukiwauliza kivipi hawawezi kujibu,wanakuja na matusi ya reja reja.