Mungu ni mkubwa sana ndio maana akatuonyesha watanzania kwamba haka kazee ni kapika majungu,fitna na ni kadikteta pia hakana maadili ndio maana kakapigwa chini na sasa mungu kaamua kukafilisi akili na mwili.
2015 babubaba akigombea ataumbuka vibaya.
Ninamwita babubaba maana junior mwanae huwa anamwita baba muda mwingine babu maana mzee haeleweki kama ni baba au babu yaani umri wa miaka65 ndio anatafuta watoto yaani mzee amechelewa mpaka mambo yetu yale!
Shetani na watu wake huwa wana jicho la 3 yaani huona vitu vilivyofichika katika mafanikio ya baadaye ya mtu wa haki,kujituma kuzima nuru.Luckily Mungu huwapiga maisha yao yote wakikimbizana na imani za kuibiana na kusafishana nyota maisha yao yote.
God Bless CDM, God Bless Makamanda wote wakifuatana na Mbowe,Dr. Slaa.Viongozi simple kabisa wanaoweza fanya great thing through very basic principles.Nawaangalia Dr. Slaa, prfo Safari napata ridhiko,namwangalia Mnyika ,na Lissu, namwangalia Mr II, namwangalia Kamanda Lema, Namwangalia Msigwa na wengine,Naona Nguvu ya Mungu kukusanya watu sahihi kutupitisha kutoka Misri ya CCM kwenda nchi watu wasiopigwa rungu za vichwa,nchi akili ndogo zinajifinza kwa kubwa na si kutaka tawala kubwa.
Badala ya kupoteza muda na nguvu kidogo mlizo nazo kuwachukia wachaga kiasi hiki,mngejituma jifunza toka kwao, kwanini tamaduni zenu zimekuwa hivyo..baba zenu walijsifu kuwa ni wazuri wa kufanya mapenzi kuliko wachaga yeti mmekiri wenyewe kuwa waliolewa na wanawake wa kichaga(mmekiri kuwa wanawake wa kichaga wana thaani kuliko wanaume wa kwenu).Hili ni sikitiko la taifa kama si janga.Watu wasiokuwa tayari hata kuatua matatizo madogo sasa ndio wanachafua ikulu ,ndio wanataka endelea chafua nchi.
Mungu ahatowaruhusu hilo, Mungu atwapa haki la kula na kulala, na haki ya kusaidiwa kwani ndipo wengine watapata thawabu kwa kuwastaarabisha.Ingawa baad aya somo moja tuu tayari mndhani kuwa mmeshakuwa masters.Sasa mnashidnana na baba zenu juu ya mama zenu.
Dr. Slaa kapika majungu wapi?wapi kamsema mtu isiwekwe hadharani?Badala yake yeye ndiye anatetwa ktk sms chafu, na hapa sikitiko ni wafuasi wa Zitto wanashika bango kuteta mabaya.Ni hatari sana.NI disgrace kwa vijana walio na ambitions za kuleta mabadiliko,kuenda waliposhidnwa wazazi wetu