Jicholangu
New Member
- Sep 23, 2010
- 2
- 0
Rugemeleza, yafaa umwogope Mungu, wewe ni sawa na yuda iskarioti kwa nje alikwenda kumbusu Yesu kama rafiki kumbe kwa ndani aliandaa maangamizi na usaliti. Ukitaka mafanio ya Kikwete nenda kasome utelezaji ilani ya Chama cha MAPINDUZI iliyotolewa katika ofisi ya Waziri Mkuu na kuwasilishwa Julai 2010 Dodom a katika Mkutano Mkuu, humo utakuta yote ambayo CCM IMETEKELEZA sio huo unafiki wako, kumbuka nchi kama Kenya ilivurugwa na vibaraka kama wewe kwa kuipenda nchi yako acha hiyo tabia nakushauri uandike mafanikio ya kweli ya Kikwete na Mungu atakusamehe na utakuwa born again.
Chagua Kikwete for Presidant
Chagua Kikwete for Presidant