Uchafu mijini ni sera ya CCM isiyoandikwa popote.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,659
Reaction score
17,136
Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure.
Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara.

Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji.

Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo zinazoziba mitaro ya maji taka inayosumbua wakatibwa mvua.

Wakuu wa mikoa wanalijua hili lakini hawawezi kufanya lolote kwakuwa kwakuwa hawa wanaochafua mitaa yetu ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa CCM na vyama vya upinzani.

Mkuu wa mkoa anaogopa kutenguliwa na wanasiasa ambao wanapita na kujinadi kuwa hawa ndio wapiga kura wangu. Kauli hizi zinawapa kiburi wachafuzi wa mazingira.

Vyama vya upinzani havina sera bali wanatumia kero za wapiga kura watarajiwa kujisogeza karibu yao kama watetezi na hatimaye wawapigie kura muda ukifika.

CCM inazitaka kura zao ingawa 95% ya wanaochafua mazingira hawa huwa hawapigi kura. Hivyo, kwa kuogopa kunyimwa kura wakati wa chaguzi wanadhani kuwaacha wafanye wafanyavyo kutaipa kura CCM na kuwazuia wasiwapigie kura wapinzani.

Kama Mkuu wa Mkoa akiamua kulipanga jiji lake vizuri na wafanyabiashara holela wakionekana wakipiga picha na wapinzani mkuu wa mkoa huyo atapata ujumbe mkali haraka kutoka wanasiasa wa kuacha kupeperusha kura za mheshiwa diwani, mbunge na huko juu.

Hakuna mkuu wa mkoa anaeweza kuwapatia machinga wote sehemu ya kufanyia biashara salama kwakuwa hawa ni watu wanaomaliza darasa la saba na sekondari vijijini na kuja mijini kutafuta maisha. Hakuna ardhi mijini itatosha kuwaweka wote wakatosha maana wanakuja kila mwaka baada ya kumaliza shule na vyuo na ardhi haiongezeki.

Mkuu wa mkoa kazi yake lazima iwe kupafanya jijini pawe na sheria kali na ngumu kwa wasiokuwa na kipato.

Kazi ya majiji na Mkuu wa mkoa ni kusema hapa panaruhusiwa kujenga na kufanya biashara na hapa haparuhusiwi kabisa, hapa panaruhusiwa kutupa taka na hapa haparuhusiwi kabisa. Wakishatamka hivyo na kuhakikisha hilo linatekelezwa watakuwa wamemaliza kazi yao, na raia wataishi kulingana na kanuni na taratibu za jijini, wakishindwa wataondoka wenyewe kwenda sehemu muafaka kwao.

Uholela ni mtaji wa wanasiasa.
 
Umesema ukweli,hii dhana ya wapiga kura wangu/wetu imesababisha watendaji kushindwa kusimamia sheria ipasavyo kuna Dc sehemu alipambana kudhibiti uvuvi haramu alipata tabu tena alikwamishwa na chama chake kwa kuambiwa hiyo siyo sera ya ......Tutkuondosha hapa,matokeo ya kuchanganya siasa na usimamizi wa sheria
 
Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure.
Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara.

Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji.

Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo zinazoziba mitaro ya maji taka inayosumbua wakatibwa mvua.

Wakuu wa mikoa wanalijua hili lakini hawawezi kufanya lolote kwakuwa kwakuwa hawa wanaochafua mitaa yetu ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa CCM na vyama vya upinzani.

Mkuu wa mkoa anaogopa kutenguliwa na wanasiasa ambao wanapita na kujinadi kuwa hawa ndio wapiga kura wangu. Kauli hizi zinawapa kiburi wachafuzi wa mazingira.

Vyama vya upinzani havina sera bali wanatumia kero za wapiga kura watarajiwa kujisogeza karibu yao kama watetezi na hatimaye wawapigie kura muda ukifika.

CCM inazitaka kura zao ingawa 95% ya wanaochafua mazingira hawa huwa hawapigi kura. Hivyo, kwa kuogopa kunyimwa kura wakati wa chaguzi wanadhani kuwaacha wafanye wafanyavyo kutaipa kura CCM na kuwazuia wasiwapigie kura wapinzani.

Kama Mkuu wa Mkoa akiamua kulipanga jiji lake vizuri na wafanyabiashara holela wakionekana wakipiga picha na wapinzani mkuu wa mkoa huyo atapata ujumbe mkali haraka kutoka wanasiasa wa kuacha kupeperusha kura za mheshiwa diwani, mbunge na huko juu.

Hakuna mkuu wa mkoa anaeweza kuwapatia machinga wote sehemu ya kufanyia biashara salama kwakuwa hawa ni watu wanaomaliza darasa la saba na sekondari vijijini na kuja mijini kutafuta maisha. Hakuna ardhi mijini itatosha kuwaweka wote wakatosha maana wanakuja kila mwaka baada ya kumaliza shule na vyuo na ardhi haiongezeki.

Mkuu wa mkoa kazi yake lazima iwe kupafanya jijini pawe na sheria kali na ngumu kwa wasiokuwa na kipato.

Kazi ya majiji na Mkuu wa mkoa ni kusema hapa panaruhusiwa kujenga na kufanya biashara na hapa haparuhusiwi kabisa, hapa panaruhusiwa kutupa taka na hapa haparuhusiwi kabisa. Wakishatamka hivyo na kuhakikisha hilo linatekelezwa watakuwa wamemaliza kazi yao, na raia wataishi kulingana na kanuni na taratibu za jijini, wakishindwa wataondoka wenyewe kwenda sehemu muafaka kwao.

Uholela ni mtaji wa wanasiasa.
 
Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 1
  • IMG-20260829-WA0049.jpg
    IMG-20260829-WA0049.jpg
    34.8 KB · Views: 1

Screenshot_20260816-150515~2.png
 
CCM ni wachafu kama !!!!
 
Attachments

  • Home-Page_800.png
    Home-Page_800.png
    41.9 KB · Views: 1
  • 410-e1582098328480.png
    410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 1
Uchafu ni hulka ya watu wengi sana nchini
Hata Hawa viongozi unaowasema, bila wafanyakazi wao wa ndani wangekuwa na mitaro michafu na hata nyumba zisingekalika

Sio masikini ndio wachafu tu
Mkodishie nyumba msomi halafu Nenda baada ya miezi mitatu kama utakuta vitasa
 
Uko sahihi, usafi ni tabia na tabia inaanzia kwenye familia. Watumishi wengi wanatoka familia mbichi kabisa. Lakini hata yule kiongozi anaetaka kufanya mji uwe safi atakutana na vikwazo vya wanasiasa wanaoogopa kukosa kura.

Hata hivyo, miji mingi imenyang'anywa vyanzo vya mapato; hata ushuru wa mabango ya matangazo unakusanywa na TRA. Hii ilitokea wakati baadhi ya miji ilipokuwa chini ya vyama vya upinzani. Watawala walidhani wanawakomoa wapinzani wasipate fedha.
 
Umesema kweli
Halafu unasikia anasema kakusanyeni mapato
Halafu wa kwanza kubanwa ni wafanya biashara
 
Uchafu ni hulka ya watu wengi sana nchini
Hata Hawa viongozi unaowasema, bila wafanyakazi wao wa ndani wangekuwa na mitaro michafu na hata nyumba zisingekalika

Sio masikini ndio wachafu tu
Mkodishie nyumba msomi halafu Nenda baada ya miezi mitatu kama utakuta vitasa
Nyerere alisema kukodisha nyumba ni unyonyaji. Akahoji iweje mtu asifanye kazi aishi kwa jasho la wengine. Fikra hizi zimetufanya tuamini kwamba hatupaswi kutunza nyumba za kupanga.
 
Huyu babu yenu Nyerere kuna mambo ya hovyo mengi aliyafanya ambayo yanatugharimu mpaka leo
 
Hiyo dhana ya uchafu kama sera isiyoandikwa haina tofauti na uchafuzi/wizi wa kura wa CCM maana haujaandikwa popote ila unatekelezwa kwa 100%
 
Nyerere alisema kukodisha nyumba ni unyonyaji. Akahoji iweje mtu asifanye kazi aishi kwa jasho la wengine. Fikra hizi zimetufanya tuamini kwamba hatupaswi kutunza nyumba za kupanga.
Kidumu Chama 😂😂
 
Back
Top Bottom