Mafanikio ya serikali ya CCM chini ya Kikwete, DETAILED!

Maisha bora kwa kila mtanzania!
CCM bwana wanaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
picha hizi ndizo zingefa ziwe kwenye mabango
k37gxu.jpg

2hf2aec.jpg

1051k53.jpg

magari_serikali.jpg

nimejaribu kufanya photo-journalism kwa kukusanya picha za matukio mbalimbali ya kikwete a.k.a "chaguo la mungu" na kumwachia tafakuri msomaji aamue kama anastahili kurejea ikulu.

maji+1%5b1%5d.jpg

maji bwerere

maisha+bora.jpg

maisha bora kwa kila mtanzania yamewezekana

huruma.jpg

ushahidi wa maisha bora unaonekana hata kwa watoto wadogo

adha+ya+maji.jpg

you see, tatizo la maji mijini na vijijini limepatiwa ufumbuzi wa kudumu

usafiri+wa+wanafunzi.jpg

tatizo la usafiri kwa wanafunzi mijini limemalizwa.mnataka maisha bora yapi zaidi ya haya?

polisi+msimbazi.jpg

mnaona?polisi wenye makazi duni sasa wana swimming pool hapo msimbazi police flats.maisha bora kwa polisi yamepelekea waache kudai rushwa na kubambikiza kesi kwa walalahoi

matrekta+kilimo+kwanza.jpg

barabara zetu ni maridadi.tumeletewa matrekta mengi mno kwa kilimo kwanza hadi inabidi yafanye kazi ya kuvuta malori.ebo!kwani cha ajabu nini trekta kuvuta lori?ni feri za nchi kavu hizo

matope.jpg

chagua kikwete na ccm kwa barabara bora.na 2010-2015 barabara kama hiyo hapo juu zitakuwa upgraded to flyover.
 
huyo bwana anastahili kurudi tena ikulu............................safari hii kubeba virago vyake na kupotelea chalinze/bagamoyo
 
Tuta..........................., tuta........................................................................
Tuta........................................................................................
 
Back
Top Bottom