waliziba midomo kwa sababu gani?MIEZI KUMI AKIWA MADARAKANI NA VITU KUMI AMBAVYO MAGUFULI AMEVIFANYA
1.KANUNUA NDEGE 2 MPYA ZA AIR TANZANIA (NYINGINE 2 BOEING ZINAKUJA)
2. KATOA ELIMU BURE
3.KAKUSANYA KODI KWA KIWANGO KIKUBWA
4.KAANZISHA MAHAKAMA MAALUMU YA KUSHUGULIKIA MAFISADI
5.KABORESHA HUDUMA ZA AFYA (CT-SCAN &MRI , VITANDA MUHIMBILI
6.KAHAKIKISHA MADAWATI KWA KILA MWANAFUNZI( SASA HAMNA MTOTO ANAYEKALIA TOFALI TENA)
7.KUPUNGUA KWA HUDUMA ZA UMEME NA BIMA YA AFYA NHIF
8.KURUDISHA NIDHAMU NA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA
9.UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE MORROCO
10.KUANZA KWA MABASI YA MWENDOKASI JIJINI DAR ES SALAAM
MIEZI KUMI BUNGENI NA VITUKO KUMI WALIVYOFANYA UKAWA.
1.KUJIZIBA MIDOMO NA PLASTA
2.KUTUKANA MATUSI
3.KUTETEA MAFISADI
4.KUSUSA BUNGE
5KUANDAA MAANDAMO HEWA YA UKUTA
6.KUKAMATWA NA POLISI
7.KUSHABIKIA MAUAJI YA POLISI
8.KWENDA KWENYE MAHAKAMA HEWA YA ICC
9.KUSUSIA MADAWATI
10.KUTAFUTA KIKI KWENYE MAAFA YA BUKOBA.
Wewe utakuwa ni product ya elimu bureha ha ha ha ha ha sina mbavu, ayo kumi ya ukawa nmecheka sana. ila ukawa imeshaisha uyu magufuli kiboko yao sio kikwete mpole
Hutaki ndugu zako wasome bure?Elimu bure inakuponza
acha nicheke ninepe, imekuuma eeh utaisoma namba mwaka huu hadi 2020Wewe utakuwa ni product ya elimu bure
Kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani
Mwandishi huna jipyaaaa
Sukari kwetu 2000 tu...waliziba midomo kwa sababu gani?
ukuta ullianzishwakwa sababu gani ?
mahakama ishawajibisha hata mmoja?(aptl, lugumi??()
ccm ishatoa mafisadi wake wanaowabeba anzia yule wa mv,lugumi, iptl -escrow ambayo inatusababisha tulipe mabilioni?
madawati bila walimu ni akili gani hizo/............. la bukoba sisemi maana ni aibu kuu changanya na zakwako na ndege ya laki nane from dar to mwaza shkamoo awamu ya matamko hewa kukurupuka..............
elimu kiuhalisia si bure.
dodoma lini ?
sukari bei gani?
ajira je?
me nipo na ntazidi kuwepo so mezoea kukosoa Leo nimesifia sasa Ila najua kuna ujumbe umeupata tu hapo ..hivi unaandikia kutoka wapi? Nakusahihisha kila wakati lakini hubadiliki. Hebu usome ujinga ulioupost. Edit kazi yako na kama lugha hii inakushinda, potea jukwaani. Ebo!
unajua sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa Mara moja kikubwa muda na iman tambua mambo mengi yanashindwa kufanyika kutokana na siasa kuweka mbele alafu uzalendo nyuma najua kuna mengi Ila kwa hata zuri moja ushindwe kumpongeza INA maana unashindwa kumpongeza mtoto akiwa amefaulu kwa sababu alifel nyuma najua wengi wenu mnapenda na mnataka kuona TAIFA hili likikwama hili mseme unaona tulisema tuache swala hilo hata wewe ni haki yako kuzungumzia swala lako na mtazamo wako kukumbusha kitu alichoweza kuhaidi najua kupitia mimi umewasilisha ujumbe wako na kuona naona taifa lilivyo na changamoto zake ili ni taifa ila si kikundi ndugu zangu kero ziko nyingi Je umewaza namna ya kushauli na njia za kutatua kero zetu nchi ina wasomi wengi tu na ajira ni tete kupiga kelele si kupata haki yako kikubwa kufanya kazi na kuwa wabunifu pongeza kunapostahili kutoa pongezi ila kosoa panapostahili kukosolewa mwalimu wa kiswahilk aje....Hongera kwa kufufa shirika la ndege lenye madeni mpaka wameshindwa kulikabidhi ndege, alipe madeni ya watu shirika liwe huru
Pia nampa hongera kwa kukosa chanjo , hii ni tanzania pekee
Nampa hongera kwa kuongeza mapata via utalii na bandari
nampa hongera kwa kuongeza deni la taifa maradufu
Nampa hongera kwa kufungua mahakama ya mafisadi kama alivyoahidi
Nampa hongera kwa kutoa ajira kama alivyoahid
Nampa hongera kwa kulishughulikia suala la lugumi na escrow kwa ufasaha, zaidi
Nampa hongera kwa kuwa huku mtaan kwangu sukari imeshuka mpaka 2400 japo aliahid 1800
Huyu ni mtukufu, mtetezi wa wanyonge
mpeni hongera zake bhana. Udumu milele ewe nisiestahili hata kusogelea kivuli chako.
me nipo na ntazidi kuwepo so mezoea kukosoa Leo nimesifia sasa Ila najua kuna ujumbe umeupata tu hapo ..
kuzungumzia swala LA escrow si la kukurupuka umeona msimu uliopita walikurupuka saivi ndo kama hivyo tambua aliye tatua kishikaji si uyu wa sasa tusubiri tuone ndo maana unambiwa serikali kesi nyingi za msingi zinashindwa na kuingizia TAIFA hasara tu kama mfatiliaji mzuri utakuwa unanielewa ndugu .Hongera kwa kufufa shirika la ndege lenye madeni mpaka wameshindwa kulikabidhi ndege, alipe madeni ya watu shirika liwe huru
Pia nampa hongera kwa kukosa chanjo , hii ni tanzania pekee
Nampa hongera kwa kuongeza mapata via utalii na bandari
nampa hongera kwa kuongeza deni la taifa maradufu
Nampa hongera kwa kufungua mahakama ya mafisadi kama alivyoahidi
Nampa hongera kwa kutoa ajira kama alivyoahid
Nampa hongera kwa kulishughulikia suala la lugumi na escrow kwa ufasaha, zaidi
Nampa hongera kwa kuwa huku mtaan kwangu sukari imeshuka mpaka 2400 japo aliahid 1800
Huyu ni mtukufu, mtetezi wa wanyonge
mpeni hongera zake bhana. Udumu milele ewe nisiestahili hata kusogelea kivuli chako.
First Grade PUMBApumba tupu